Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wadau mimi ni mwajiriwa wa Umma na kipindi nipo job nilikopa kwenye taasisi fulani na wakawa wanakata kwenye salary kila mwezi. Kabla sijamaliza nilipata chansi kwenda kusoma na mwajiri akagomea ruhusa. Nilipoondoka akaniondoa payrole, asa hao jamaa kitambo wanasumbua kuhusu deni lao ila mimi nkawaambia wasubiri nimalize ili nirudi payrole niendelee kulipa deni lao.
Juzi wakanitumia account number kuwa ili wanivumilie niweke laki moja then watasubiri. Ila huku nilipo sina mshahara bodi ya mikopo majanga na nilipowaambia hvo wakasema basi watanipeleka mahakamani.
Je hyo kesi inaweza nifunga au ni kukubaliana nikawalipa?