miradibubu
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 312
- 85
Nahitaji vijana watatu hususani wanaoishi Dodoma waliotayari kuwa madereva wa bajaji ya mizigo na kuingia mtaani kupiga kazi. Aliye tayari ajue atapaswa kuwasilisha elfu 15 Kwa siku. Pia awe mwaminifu na mwenye anwani inayoeleweka. Mwisho awe na leseni inayomruhusu kuendesha bajaji ya mizigo ile miguu mitatu! Natanguliza shukrani. Aliye tayari anitumie namba yake ya simu pm au aiandike hapa