Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nina stashahada ya ualimu sekondari. History na Kiswahili.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye kujua kiwango cha mshahara ngazi ya BOS1 anisaidie tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Financial Trader Associates This Position is considered a key contributor to the Management of Securities Portfolio within the organization and will be the Primary Trader for certain Products of...
1 Reactions
0 Replies
856 Views
Wadau huko Mtwara kwenye gesi kuna makampuni kibao yameenda kuchimba gesi na mafuta ila ukiacha zile za TPDC mbona sijawahi kuona nafasi za kazi za hayo makampuni huko Mtwara
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani wadau mliofanya usaili mambo yenu tayari hebu jiangalie kama umo au la ili ujue unajipangaje ila hongereni kwa mliopata ili kuona majina yenu ingia Ministry of Home Affairs - Home Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Nimerudi tena jamani toka pale nilipoomba nafasi ya kujishkiza/kuvolunteer ikawa imeshindikana nikawa nakomaa na vibarua vya hapa na pale .But kwa sasa nimelazimika kusitisha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kutokana na serikali kutangaza ajira za walimu mwezi uliopita,lakini uchunguzi umebani kuwa kuna kundi kubwa la walimu wahitimu wenye sifa za kuajiliwa hawajaajiliwa. Wakati huo huo serikali...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Vipi wana JF, Please someone wa kunipa kazi nina shida kwa yeyote ani PM.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wadau wa JF, broo wangu anatafuta kazi ya udereva, anapatikana Dar. Ana cheti cha veta, cha form four, leseni class E, B, D, na C na uzoefu wa kutosha. Mwenye msaada tafadhali ani PM. Shukrani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
COJIM INVESTIMENT COMPANY LIMITED is a full registered company limited that deals with builidings & civil works construction since May of 1999. It is a class "5" building company headquartered at...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnisaidie, kupitia huu mtandao wa zoom nilijisajili nina kama miaka miwili. Huwa kuna nafasi nyingi za kazi zinatangazwa za taaluma yangu nime apply si chini ya mara mia moja na...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
JESHI LA KUJENGA TAIFA LITAANDIKISHA VIJANA WA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KUANZIA JANUARI 2014. NAFASI HIZO ZIMETOLEWA KWA TANZANIA BARA NA VISIWANI. USAILI UTAANZIA NGAZI ZA WILAYA...
2 Reactions
19 Replies
24K Views
Waheshimiwa naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu aliyefanya vizuri sana kwenye mtihani wa mchujo baadae akaja kukosa kazi na akapata let say mtu aliyekua wa 3 au wa 4 kwa maksi kwenye mtihani wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Graduate Trainee at Barclays Bank Tanzania , 2014 Graduate Development Programme is the programme will see you laying the foundations for your future success – taking the first steps towards...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Natafuta kampuni ambayo inaweza kununua idea/ wazo la kibiashara katika kampuni yoyote ya simu au benk. Business oppotunity hii ni kwa makubaliano moja kati ya haya 1.kununua wazo au idea hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii, napenda kuwataarifu kuwa natafuta Kazi yoyote inayohusiana na IT ,, ninaujuz wa kutosha na pia ninauzoefu wa kutosha pia nimtaalam wa Database administrator ,programming...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati napitia hotuba ya raisi ya 01/05/2014, nikaona maelekezo juu ya kusimamisha makampuni yanayo dalalia ajira hapa nchini. Nikaanza kuyasaka hayo ma- recruitment agencies. Mara nikaona hawa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kama kuna mtu aliyeweza kutuma application Tanzania postal bank naomba anijuze amefanya vipi maana mimi mpaka mda huu sijafanyikisha, nikituma kwa address yao inanigomea. Natanguliza shukrani zangu.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
hawa jamaa wameona hawapati watu wao wa sales ,marketing sasa wameunda ngo/company mbalimbali mm be4 sijapata kazi nliwah ku aply ngo mbalimbali bila kujua ni gnld na for living waliniita kama...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Niwasalimu wana bodi.. Ni w'kend hii ambapo nilikuwa na mazungumzo na rafiki yangu mmoja ambae tumemaliza nae chuo mwaka jana. Jamaa bado hajapata ajira na haoni ayo matumaini kwani anatumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom