Naomba ushauri wana JF

Naomba ushauri wana JF

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Nina degree ya uhasibu, kwa sasa ni mwalimu katika shule moja ya binafsi hapa Tanga na mshahara wangu ni lak 5 kwa mwezi. Kuna rafiki ya kaka ameniambia niache kazi kisha niende katika ofisi yake akanifundishe kazi ya uhasib miezi 5 kisha atafanya utaratibu wa kupata kazi. Sasa naomba mnisaidie haya;

(1) Naweza kupata kazi hiyo ya uhasibu?
(2) Kiwango cha mshahara wa uhasibu serikalini ni shilingi ngapi?
(3) Vipi wanaofanya kazi katika ofisi kabla ya kuajiliwa wanapewa pesa za kujikimu?

Asanteni sana
 
Kuhusu kuijua fani yako ni muhimu, pia swala pesa ya kujikimu ni swala la kumuuliza huyo anayetaka kukufundisha kazi je atatoa?, na pia swala la kiwango cha mshahara serikalini lisiwe kipaumbele wakati bado unajifunza kazi, pia kama kukufundisha kazi unaweza ongea na shule ukapanga vipindi muda ambao utakuwa na nafasi kama mchana baada ya kutoka huko kazini hasa zaidi kama ofisi zipo karibu....
 
Back
Top Bottom