Kwa aliyewah kufanya interview Access Bank

unywele

Member
May 8, 2014
51
20
Habar wana JF, kama kuna mwenye experience ya interview na Access Bank kwa loan officer position naomba anisaidie ni vitu gani muhimu kujua au maswali waliyoulizwa ili niwe na idea.

Thank you in advance
 
Maswali yao hayatabiliki ila niyakawaida sana...ushauri Wang kama huna kabisa kibarua hapa mjini nenda kapige hiyo ila kama uko somewhere unapata japo kaposho cha sabuni ACHANA nao hao Access. Sio bank hiyo ni SACCOS
 
ok...thank u mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom