Nafasi ya kazi Dodoma

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
70
Wadau niko mjini Dodoma natafuta kazi ya aina yoyote ile. Nina degree ya Uchumi !
Mawasiliano: 0713294699
 

franswamj

Member
May 23, 2014
96
70
Dom kuna oppurtunity nyingi unaweza take advantage ya opp zilizoko dom mfano unaweza samba smart package za ubuyu na karanga kwenye vifaa maalum(plastic) na kusambaza madukan na super market.....si kitu kidogo but kuwa mbunifu no matter the level of competition
 

G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,381
2,000
Kweni degree ni mtaji??mtu anaweza kua kasoma na hajapata kazi hata siku moja,sasa huo mtaji anautoa wapi?ndo mana anatafuta kazi ili baadae ajitegemee,mtoa mada njoo Mwanza afu anza kupita ofisi moja mpaka nyingine,utakutana tu na kibarua kitakachokufanya uwe na mwanzo mzuri
 

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
70
G'taxi na franswamj
Nashukuruni sana kwa mawazo yenu, Nategemea jukwaa hili ni la kupeana mawazo hasa hasa katika kundi la vijana tunaoathilika na hili janga la ukosefu wa ajira. Sio kwamba hatuna mawazo ya biashara swala linakuja ni mtaji wap pa kuanzia.
 

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
70
Specify kazi..

Ukisema kazi yyte kwann usijitolee kufanya usafi mjini Dodoma. Au iyo sio kazi?

Nimekupata balozi!
nauhakika wa kuweza kufanya kazi katika NGO yoyote isipokuwa zinajihusisha na mambo ya afya, usimamiz wa biashara, bank, Saccos na kwenye taasis mbali mbali ambazo mtu aliyesomea uchumi anaqualify!
 

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
70
Ndugu zangu ndo maana nikaweka sifa ambazo ninazo, sasa kama imefikia hatuwa mtu mwenye bachala anaweza fanya biashara ya kuuza maji....! Inatia walakin fikra za watu wanakurupuka na kuandika kazi kama ya ulinzi, kuuza maji!
Hebu tuwe watu makini if you have nothing value to add just pita kimyamya....
 

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
505
225
Kipindi kile natafuta kaz walikejeli watu wengi sana ila nilijipa moyo leo hii nimefanikiwa,sitoacha kumpa moyo kijana mwenzangu mtaftaj,usife moyo ndugu yangu utapata!
 

samo

Member
Sep 13, 2010
7
0
Usiwe na shaka. Nikupe ushuhuda mtu wangu, mie nina degree ya utawala na nilisota ile mbaya nikaona nijikite katika biashara ya bodaboda na maisha yakawa yanaenda na niliendesha na nikawa napata hata pesa za kwenda kwenye interview sehem mbalimbali hapa nchini (nimeajiriwa sasa). Ushari wangu angalia vijinafasi vindogo (jiajiri) ambayo vitakupatia pesa ya kujikim.
 

Balozi wa Dodoma

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
477
225
Nimekupata balozi!
nauhakika wa kuweza kufanya kazi katika NGO yoyote isipokuwa zinajihusisha na mambo ya afya, usimamiz wa biashara, bank, Saccos na kwenye taasis mbali mbali ambazo mtu aliyesomea uchumi anaqualify!

fanya ivi. Nenda pale GOROFA LA NSSF DARAJANI KM UNAELEKEA KITUO KIKUU CHA POLISI.
UKIFIKA NSSF MUULIZIE MLINZI AKUELEKEZE ZILIPO OFISI ZA
"NGONEDO" ghorofa ya pili.

NGONEDO NI mtandao wa NGO's zote zinazo operate mkoa wa Dodoma.
Nenda kawaelezee nia yako, au hata NGO ambayo ungependa kufanya nao kazi.

Jamaa watakusaidia nini cha kufanya na wapi pa kuanzia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom