Naomba kuuliza kuhusu applications za kazi online

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
2,492
2,000
Wadau naomba mtu anijuze kwani application online ile sehemu ya meseji huwa inatakiwa kuandika nini? mfano unakuta form unajaza jina, email, unaaplod CV, n.k then kuna sehem inayotakiwa kuandika meseji.
 

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,275
2,000
andika good day, please find the attached documents for the post of ..........hakikisha me up load cover letter na cv pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom