Natafuta kazi ya Audio & Vidieo Editing and Script Writing

TATA PANYA

Member
Jul 26, 2013
54
95
Mimi ni kijana niliyehitimu chuo kwa digrii ya sanaa na filamu, kwa mtu yeyote binafsi au kampuni anayehitaji kufanya kazi na mimi za -Video editing -Audio editing -Radio drama profuction -Camera operation -Scriptwriting e.t.c apige namba ifuatazo +255763347994 EMAIL.jr.infowen88@gmail.com
 

kwaida

Member
Apr 24, 2014
14
0
mambo vipi ndugu nikushauri jaribu kutafuta kazi kama freelancer ingia kwenye hizi web www.odesk.com na www.elance.com ukijipanga unaweza fanya jamaa wana post kai za taaluma kama yako humo. Pia ni koi nzuri uliyosomea hiyo hongera
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom