Updates za UTT Microfinance

Updates za UTT Microfinance

makery

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
33
Reaction score
3
Jamani kuna mtu yoyote aliyeitwa kwenye interview na hao jamaa? maana walitoaga nafasi naona mpaka sasa kimiya
 
jamani kuna mtu yoyote aliyeitwa kwenye interview na hao jamaa? maana walitoaga nafasi naona mpaka sasa kimiya

Walishaita kwanza kwa ajili ya aptitude na waliofanikiwa wamefanya oral interview jumamosi na wengine jumapili jana
 
He? kwa hiyo hawaiti tena kwa waliofanya aptitude, maana kipindi kile waliita kwa kutenganisha vyeo ....mwenye habari zaidi atwambie please
 
Jumamosi walifanya senior, officers na assistant credit officers. Jumapili customer care na tellers
 
Back
Top Bottom