Wana jamvi naombeni kujuzwa kwa mwenye ufahamu wa mshahara wa Client Officer at Advans Bank. Kuna ndugu yangu kaniambia miezi mitatu ya mwanzo hawalipi mshahara wanalipa posho tu, je kuna ukweli...
Hello
Pitieni attachment ya tangazo la nafasi za kazi NMB, who knows perhaps you are the next NMB employee. Tukutane kweye interview.
All the best.
HIZI HAPO WENYE MICHINA SIMU
CAREER...
kwa wale wanaohitaji mfanyakazi au wafanyakazi wa ndani wanapatikana toka mikoa ya dodoma,singida na iringa. mpaka kuletewa mfanyakazi wako utahitajika kulipa Tsh 120,000. mpaka nyumbani kwako au...
Natafuta kijana ambaye ni shapu. Mwenye SIFA zifuatazo
Kuandaa na Kuandika SCRIPT
Kutangaza
Kuchukua Video
Kutengeneza na Kuhariri Video
Kwa Mawasiliano piga 0683 966282 au niandikie barua...
If you can sell advertising space, if you have good communication skills and are able to network with people, if you are able to meet sales targets and speak English as well as Swahili, if you...
Jamani wana Jamii Forum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nina uzoefu mkubwa wa fani hii kwa miaka 8 ambao nimeupata kaika makampuni makubwa ya matairi ikiwemo Good Year, michelin na...
Nawasalimu wana JF na polen na majukum y kila siku, wana JF naomba kwa mtu yeyote mwnye tarifa y accessbank kuhusiana na interview iliyofanyika mwanza last month kam washaita watu kwa ajil y...
Ndugu zangu habari zenu
Mimi ni mwl. Wa physics mwenye uzoefu wa kutosha
Naishi dar
Mawasiliano 0716008855
NATAFUTA SEHEMU YA KUFUNDISHA KWA MAKUBALIANO SEHEMU HIYO NI KAMA
1. Shule...
Dear Colleagues in development,
A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program...
Hallo wadau wenzangu wa JF ninatafuta kazi katika kampuni yoyote ile ndani na nje ya nchi sibagui maeneo niko tayari kufanya kazi mkoa/nchi yoyote ile.naomba kwa yeyote yule atayeweza kusikia...
Wadau mdogo wangu anaandika hapa naomba mwenye nafasi amsaidie au hata kumuunganisha na nafasi hiyo popote hapa nchini. Natafuta kazi ya uhariri wa habari na makala, kwenye gazeti au jarida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.