Kwa sasa nipo mkoani mwanza na kiwanda x nafanya kazi,ila wakati natafuta kazi mwaka jana niliomba kufundisha seminari moja hivi ya wakatoliki, sasa wakuu naomba kujua kama wanaallowanzes zingine...
Daaa! hawa jamaa wa zimamoto sijui wanasubr nini maana toka watu wafanye usaili walisema baada ya mwezi mmoja lakini mhhhhhh! sio mwezi tena huu hichi kimya lazima watu walie tu.
Tujifunze...
BOT ACT 2014 ambayo imetoka mwezi wa pili nmebahatika kuosoma leo ni kwamba kuanzia sasa mabenki yote yanapaswa kutambua hii mitihani ya kutoka TIOB kama NBAA inavotambua CPA hata hivo hyo itakuwa...
Customer Service representative in Tanzania
Purpose: Serves customers by providing product and service information; resolving product and service problems.
Duties:
· Answers product and...
Jaman ajira zimekua ngumu, elimu yenyewe ya kujibia mitihani ili tufahulu na sio kwaajiri ya kujiajiri lakini hata ukiwa na skill ndogo ya kujiajili mtaji tatizo nifanyeje?
Na nikitaka mkopo...
HALLOW!..
*HONGERA, WEWE NI MIONGONI MWA WACHACHE MLIOALIKWA KTK BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, NI UTAMBULUSHO WA MFUMO MPYA WA KIBIASHARA WA KIMATAIFA UNAOWEZA KUKULIPA MPK ZAIDI YA 1.2 MIL...
wauguzi na wakunga ngazi ya cheti sasa wapo mtaani wanasaka ajira kama wewe unaupungufu katika hospital yako tuwasiliane hapa jf kwa kuweka namba za simu
Jaman wana JF,
Habari zenu? kwanza sinabud kueleza furaha yangu kubwa baada ya kuwa mmoja kati ya wenzang el 10 na nying tulioitwa kwanye usail uwanja wa taifa trh 13, ukwl naitaman sana hiyo...
Msaada wadau,kwa mtu aliyekuwa anafanya kazi kampuni fulani lakini akaamua ku "Resign" kwa notice ya mwezi mmoja ( kufanya kazi bila malipo ndani yahuo mwezi) sababu kuu ya kuacha kazi nikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.