Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau wa Jf kuna hii topic nzuri sana kwa waandika CV nikaona nishare link yake! wenye hiyo blog wao hawakubali kukopi na kupaste ndo maana nimeweka...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
kwa yeyote anaehitaji fundi bomba mzuri mkoa wa mbeya nenda chuo cha ufundi magereza Ruanda.Ni mwl wa bomba au wasiliana no. 0755477149 Mr.macha.Anafunga solar heater,pump,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sales Executive 10 Posts. Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongereni sana wakuu mliofanikiwa kuingia katika chaguo la pili, hawa hapa wakuu 58 wamefanikiwa kuitwa na kutakiwa kuhudhuria usaili pale 'uwanja wa taifa' tarehe 13 june, 2014...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Sales Executive 10 Posts. Red Dot solutions deals with supplying of I.T products to different clients in Tanzania. We currently are specifically looking for enthusiastic sales executives to help...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Elimu : o level jinsia : m/mke umri: 28 mcheshi na mchapa Kazi. 0714 04 50 80.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta kazi, mi mwalimu wa physics & mathematics ngazi ya diploma!! cell 0684912128
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jamvi..ivi wale wanaotangaza kaz ambazo hazina ata mshahara mzuri na kuandika uwe na experienc ya 5 au ata 10 years uwa wanamaamisha nn?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Usaili utaanza tarehe 09/06/2014 hadi tarehe 26/06/2014 saa mbili asubuhi ktk ukumbi wa baraza la maaskofu kurasini, barabara ya Nelson Mandela wote walioitwa wanatakiwa kufika kwa tarehe...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Baada ya mtu kufanya interview na kumaliza watu wengi huwa wanambiwa hongera subili utapigiwa simu, kwa wale waliosomea mambo ya humman resource na mmeshawai kuwafanyia watu interview, jee ni...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jamani nimeitwa na hawa jamaa techno brain kwa ajili ya oral interview, vp mishahara yao, tupeane data jameni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Am a graduate i need 5 more graduate ili tufanye kitu cha maana kuliko kusubiri ajira. if your ready nipm
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu Wana-bodi Nawasalim sana! Kutokana na hali ya ajira nchini kuwa mbaya kiasi cha kutisha, huku serikali kama mwajiri mkuu na chombo pekee nchini cha kuzalisha fursa za ajira nchini...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wale watu 1400 tulioitwa kwa usaili post za AFISA USTAWI all the best tuombeane wakuu, maana kupata kazi nayo ni kazi yani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu, Kuwa makini na watu hawa wanjifanya ni ma supervisor Uchumi Quick mmoja anajiita Anna 0714070332 .na mwingine Alex 0659603292. Kuwa makini na hizo namba.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hallow great thinker hebu tusaidiane ni vitu gani vya kubeba kwenye interview iyo june 13 TAIFA maana tusije tafutiana fitina kwa kukosa barua ya mtendaji wa kijiji? Vp na mkande nje lazima...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye kujua zile ajira za uhamiaji vip zimeshatoka jamani?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Jamani wanadungu naombeni kujuza kwa aliyewahi kufanya interview TCCL upande wa accounting,maswali gani wanapenda kuuliza kwny written interview,maana nikanye interview next week. Nawasilisha wakuu
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF? Anahitajika mdada wa kazi za ndani hapa Dar es Salaam. Majukumu yake ni kufanya usafi maeneo ya nyumbani na kupika. maji yapo nyumbani, ikitokea dharula hayafiki hua yanachotwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom