Resignation

Resignation

TZ kwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
250
Reaction score
87
Msaada wadau,kwa mtu aliyekuwa anafanya kazi kampuni fulani lakini akaamua ku "Resign" kwa notice ya mwezi mmoja ( kufanya kazi bila malipo ndani yahuo mwezi) sababu kuu ya kuacha kazi nikuwa nafasi aliyoajiriwa nayo ni ndogo kuliko elimu yake, sasa ikatokea kampuni hiyo baada ya mwaka wakatangaza nafasi anayofit akaomba na akaitwa interview, atajibuje swali hili kwa majibu ya kitaalamu
1 . Kwanini uliacha kazi ? ( kumbuka kwenye barua alisema family problems) na kwanini unataka kurudi kufanya kazi na sisi
 
Msaada wadau,kwa mtu aliyekuwa anafanya kazi kampuni fulani lakini akaamua ku "Resign" kwa notice ya mwezi mmoja ( kufanya kazi bila malipo ndani yahuo mwezi) sababu kuu ya kuacha kazi nikuwa nafasi aliyoajiriwa nayo ni ndogo kuliko elimu yake, sasa ikatokea kampuni hiyo baada ya mwaka wakatangaza nafasi anayofit akaomba na akaitwa interview, atajibuje swali hili kwa majibu ya kitaalamu
1 . Kwanini uliacha kazi ? ( kumbuka kwenye barua alisema family problems)
utawambia family problem silikuwasorted out sasa uko tayari kwa kazi
 
Kwan ukitoa Notice ya 28 days huwa hulipwi?

In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
HAYA PIA NI MAJIBU SAHIHI

  • I am interested in a new challenge and an opportunity to use my technical skills and experience in a different capacity than I have in the past.
  • I am interested in a job with more responsibility, and I am very ready for a new challenge.
 
Kwan ukitoa Notice ya 28 days huwa hulipwi?

In this world nothing is certain than Tax and Death.
Unalipwa kama kawaida. Ila ukitoa ya 24hrs ndo wewe inabidi umlipe mwajiri wako gross pay ya mwez mzima.
 
Then rejea maelezo ya mleta uzi...

Back
Top Bottom