Mwenye uzoefu kwenye Real Estate Company anahitajika

mm najua kwn real estate kunafanyika vitu gani, generally najua maana ya real estate development lakn nimeajiriwa sehemu ktk post ya procurement. Eleza unataka mtu wa namna gani na kwa maslahi gani. mm naweza kuresign kazi nikajiunga na kampuni yako
 
Back
Top Bottom