Nifanye Nin Niipate Hii Kaz Ya Afisa Mkaguz Msaidizi Uhamiaji?

hillman

Senior Member
May 28, 2014
159
45
Jaman wana JF,

Habari zenu? kwanza sinabud kueleza furaha yangu kubwa baada ya kuwa mmoja kati ya wenzang el 10 na nying tulioitwa kwanye usail uwanja wa taifa trh 13, ukwl naitaman sana hiyo kaz kwan ndoto yang ilikua kultumikia taifa langu ktk idara ya uhamiaji, japo uwezekano ni mdogo lkn iman yang kubwa m miongon mwa wachache watakaopita interview, ndo maana nakuja kwenu wadau nipate ushaur yakinifu juu ya nin nifanye ili nipate kaz hii, pia kingne kikubwa mbal na ushauri, nahitaj maombi yenu sana, kadri mungu atakavyokuongoza ktk kufanya ibada ya jambo hili,

Natangulza shkran za dhat
 
Fanya hivi:
-Kwanza udhuria hiyo interview ukiwa full equipped. Vaa nadhifu, ingawa sio saana hadi ukawafunika interviewers, beba vyeti vtote hadi leaving certificates,.
-Kua makini, smart, assume kila sekunde kuna CCTV inakutrace. Usijimix na mtu ukaanza ongea vibaya kuhusu uhamiaji eg: hizi kazi zinawenyewe, au kuanza ongelea maswala ya rushwa rushwa, huwezi jua unaeongea ni nani.
-Jifanye mjinga, wakisema kaeni chini we kaa, simama, rukaruka we wafuate. Pia mnaweza wekwa sana usioneshe sura ya kuchoshwa au kukata tamaa. Pia usijifanye njaa inauma ukaenda kulakula. You may miss something when you takeoff.
-Kama kutakua na physical exercises, hapo wewe tu. Kama uko fresh wakimbize.
-Na kikubwa ila si kidogo, kumbuka the worse thing you can do is panic.
 
-Na kikubwa ila si kidogo, kumbuka the
worse thing you can do is panic.

Ouuk, thanks sana for ur advice, cause sikujua haya yote na kadri nilivyokua nasoma, yote yalikua na maana sana, hakika ntatenda vyema zaid kama hivyo ulivyosema
 
Nenda na Mungu kwenye hiyo interview...amini unapotembea njiani uko nae..mie technique hii imenisaidia sana chuoni..!!Go with God...!!
 
Pigilia Bukta na Tshert taya ri kwa mbio. Vaa viatu maarufu kama six ili likija suala la kuchomoka asee uwe kama Bolt. Si itafanyika U.Taifa? Hapo ni mbio tu kwa kwenda mbere.
 
Kwajinsi watu walivyo wengi jiandae kwenda kukimbizwa kwanza( riadha) na ukipita mchujo huo basi jiandae vyema,kiafya , vyeti visiwe na majina yanayotofautiana hata herufi moja mfano, Said / Saidi , kitaaluma pia jipange pamoja na confidence.Naamini ukizingatia hayo utapata kwani mungu niwetu sote
 
Fanya hivi:
-Kwanza udhuria hiyo interview ukiwa full equipped. Vaa nadhifu, ingawa sio saana hadi ukawafunika interviewers, beba vyeti vtote hadi leaving certificates,.
-Kua makini, smart, assume kila sekunde kumna CCTV inakutrace. Usijimix na mtu ukaanza ongea vibaya kuhusu uhamiaji eg: hizi kazi zinawenyewe, au kuanza ongelea maswala ya rushwa rushwa, huwezi jua unaeongea ni nani.
-Jifanye mjinga, wakisema kaeni chini we kaa, simama, rukaruka we wafuate. Pia mnaweza wekwa sana usioneshe sura ya kuchoshwa au kukata tamaa. Pia usijifanye njaa inauma ukaenda kulakula. You may miss something when you takeoff.
-Kama kutakua na physical exercises, hapo wewe tu. Kama uko fresh wakimbize.
-Na kikubwa ila si kidogo, kumbuka the worse thing you can do is panic.

Asante ata kwa sisi wengine tuliochaguliwaa umetuongezea kitu
 
Kwajinsi watu walivyo wengi jiandae kwenda kukimbizwa kwanza( riadha) na ukipita mchujo huo basi jiandae vyema,kiafya , vyeti visiwe na majina yanayotofautiana hata herufi moja mfano, Said / Saidi , kitaaluma pia jipange pamoja na confidence.Naamini ukizingatia hayo utapata kwani mungu niwetu sote

Ouuuk, asante pia kwa mchango wako, Mungu akubarik sana,
 
Pigilia Bukta na Tshert taya ri kwa mbio. Vaa viatu maarufu kama six ili likija suala la kuchomoka asee uwe kama Bolt. Si itafanyika U.Taifa? Hapo ni mbio tu kwa kwenda mbere.

Haaaaa Haaaaa Haaaaa Haaaa Haaaa, Poa sana kama ipo ipo tu, na naamin ipo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom