Habari njema kwa Banker wenye CPB

Habari njema kwa Banker wenye CPB

sir.mohere

Member
Joined
May 17, 2014
Posts
17
Reaction score
2
BOT ACT 2014 ambayo imetoka mwezi wa pili nmebahatika kuosoma leo ni kwamba kuanzia sasa mabenki yote yanapaswa kutambua hii mitihani ya kutoka TIOB kama NBAA inavotambua CPA hata hivo hyo itakuwa habar njema kwa wafanyakazi wa benk wenye hicho cheti mishahara itapangwa level ya hicho cheti habar za ndani zinadai kuwa kna uwezekano sasa fees ya mitihan hyo kupanda yaan 70000 kwa non banker tofaut na mwanzo 50000 so hicho cheti kwa sasa kimepandishwa hadhi ya hali ya juu
 
hata iwe vp cpb haiwezi fikie status ya CPA pigaa ua ? ACHENI CPA IITWE CPA chezea Pius Maneno weye buhaha buhahaha
 
Kiongozi nipe link ya hiyo Bot act baba...ngoja nikamalizie somo langu moja aisee
 
BOT ACT 2014 ambayo imetoka mwezi wa pili nmebahatika kuosoma leo ni kwamba kuanzia sasa mabenki yote yanapaswa kutambua hii mitihani ya kutoka TIOB kama NBAA inavotambua CPA hata hivo hyo itakuwa habar njema kwa wafanyakazi wa benk wenye hicho cheti mishahara itapangwa level ya hicho cheti habar za ndani zinadai kuwa kna uwezekano sasa fees ya mitihan hyo kupanda yaan 70000 kwa non banker tofaut na mwanzo 50000 so hicho cheti kwa sasa kimepandishwa hadhi ya hali ya juu

Boss hiyo act hsijatoka bado nimeitafuta net hamna kitu mzee...we umeitoa wapi tupe updates
 
BOT ACT 2014 ambayo imetoka mwezi wa pili nmebahatika kuosoma leo ni kwamba kuanzia sasa mabenki yote yanapaswa kutambua hii mitihani ya kutoka TIOB kama NBAA inavotambua CPA hata hivo hyo itakuwa habar njema kwa wafanyakazi wa benk wenye hicho cheti mishahara itapangwa level ya hicho cheti habar za ndani zinadai kuwa kna uwezekano sasa fees ya mitihan hyo kupanda yaan 70000 kwa non banker tofaut na mwanzo 50000 so hicho cheti kwa sasa kimepandishwa hadhi ya hali ya juu

Kamugisha
 
Kwa sasa madam nadhani hii itaizid cpa maana imepewa hadhi kubwa zna
 
Biot act ya mwisho ni 2008 kumbe na wee unaongea hujui bado hyo act ya 2014 haijawekwa kwenye website ya biot ebu ulizia mfanyakazi yeyote wa biot anaip mim mwenyew nina hicho kitabu
 
kiongozi Mimi nimfuasi Mkubwa Wa hii kitu embu nipe namba yako tuyajenge vizuri naisi utakua unataharifa nyingi na za kujenga
 
wana jamvini mi kidogo sio mtu wa benki ila ningependa kufahamu zaidi kuhusu iyo certificate ya CPB imenivutia sana i wish niijue possible niifanyie kazi
 
Biot act ya mwisho ni 2008 kumbe na wee unaongea hujui bado hyo act ya 2014 haijawekwa kwenye website ya biot ebu ulizia mfanyakazi yeyote wa biot anaip mim mwenyew nina hicho kitabu

Boss mbona umetuacha njia panda? Tupigie basi ata picha iko kijitabu cha biot tukione Mzee. Tuongee kwa reference kama wasomi. Nitangulize shukrani
 
Back
Top Bottom