arsenkazzy
New Member
- May 12, 2014
- 3
- 0
Mlioitwa kwny interview immigration jiandae kukimbia uwanja wa taifa washindi watachukuliwa vipimo abt afya then mchezo utakuwa umeisha forget abt academic matters💪
Aisee hata mimi nahisi hivyo. Sasa kasheshe wadada wavae skuna zao. Itakula kwao fulu.Mlioitwa kwny interview immigration jiandae kukimbia uwanja wa taifa washindi watachukuliwa vipimo abt afya then mchezo utakuwa umeisha forget abt academic matters