Baada ya uhamiaji kutangaza majina ya usaili 10816 nafasi ya mkaguzi msaidizi,hatimaye jana wameongeza mjina 58 kwa madai kwamba baadhi ya majina walotangaza awali mengine yamejirudiarudia, majina...
Habari zenu leo tumefanya written kwa post za AFISA USTAWI na watu tulikuwa si chini ya 900 wakasema majibu ya written yatatoka kesho jioni au j3 asubuhi, je hawa jamaa wanaangalia vigezo gani...
Hello, kumekuwa na idadi kubwa saana ya graduates, hii ni baada ya serikali na sekta binafsi kuongeza idadi ya vyuo nakuvipandisha hadhi baadhi kuwa hadhi ya kutoa degree.
Tatizo linakuja idadi...
Nimesomea accountancy,degree level.nimekuwa nikitafuta kazi mwaka unaisha sasa.bahati nzuri i applied for pwc graduate recruitment and got shortlisted.I did the aptitude test and passed.I could...
Jamani salama humu,kuna jamaa nimemaliza nae chuo,lakn mpaka sasa hajapata kazi,Kuna mtu ameongea nae kamwambia kuwa anataka laki mbili ili apate kibarua tanesco,na yeye pesa hana ..je...
Imebainika kuwa, vijana wengi hapa nchini wenye elimu nzuri na ujuzi wa kazi mbalimbali hukosa ajira kutokana na sababu mbalimbali kama ifuatavyo;
1: Wanapoomba ajira wanaambiwa kuwa wawe na...
Habari wana jamii!
Mimi ni mmoja wa wale waliokuwa wanahangaika kutafuta kazi kupitia tume ya ajira, bahati kufikia mwezi mei mwaka huu nilibahatika kuitwa kwenye ajira baada ya kufaulu usahili...
HABARI wana JF, tunawahitaji vijana wote wasio na kazi yoyote. wafike chuoni kwetu cha MICTES kilichopo kihonda maghorofani jirani na shule ya msingi kihonda maghorofani. LENGO KUU;
Kupeana...
If you can swim and love being outdoors then this role will be a great way to gain professional work-experience in a fun environment!
Not only will you work with a professional and friendly team...
Nimeitwa kufanya usaili kwa majadiliano kwa kada ya afisa kilimo daraja la pili. najua humu pana wazoefu upande wa kilimo kwa kupitia ktk huo usaili. nijikite maeneo gani kujiandaa sina uzoefu na...
Ni kijana niliyehtmu mwaka 2012 ktk fani ya utawala wa umma lakini mpaka hv leo sijabahatika kupata walau kibarua cha aina yeyote nahangaika tu na bahasha zangu mkononi wapendwa kama kuna msaada...
Wana jamvi nakaribia kuingia soko la ajira IT/COMPUTER SCIENCE naomba aliye ajiriwa anipe feedback je hizi kazi kwenye kampuni moja wapo IT wangap?Vp kuhusu mishahara yao kwa private na govt...
Jamani kuweni makini haswa unapoomba kazi kupitia Website ya Zoom, pale hakuna security au private yoyote, kwa mfano ukiingia website yao na uki search cv basi zinakuja cv za watu kibao na full...
WHAT YOUR BIGGEST WEAKENESS IS?
U Cnt blv this Question got me employed, I know that when they ask it, a lot f ppo try to say something that z positive. Something like "i work too hard". However...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.