Looking for a Graphic Designer to join a vibrant creative team.
The successful candidate will be supporting the execution of multiple concurrent marketing and communications design projects within...
Wadau, serikali imepiga marufuku mawakala wa ajira baada ya watu kulalamika! What do you say? Pamoja na mambo mengine, wadau wamelalamikia tabia ya kampuni hizi kutopeleka makato ya mifuko ya...
Habari wana JF
Mimi nimepigiwa simu jana na hawa watu interview ipo jumatano posta house opposite na wizara ya mambo ya ndani ,naomba kuuliza kama kuna yoyote kaitwa au kama kuna yoyote ana...
Skymoo co. Ltd needs dedicated and committed applicants with not only entrepreneurship mind but those with experience in organizing events, such as in music, film, politics festivals or any other...
Dear JF hope your all okey this is the second time am asking for a job. secretary is okey job for me. i have study microsoft word, microsoft excel, microsoft acess,internet. I have been working...
Hi wanajamvi mi ni recent graduate kutoka ifm bachelor banking and finance nko kwenye harakati za kufanya mitihani hii ya cpb ila sjajua bado umuhimu wake maana hata kwenye matangazo ya kazi za...
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa...
Moja na watu waliyoitwa kwenye interview ya TPB na hatimae kupata nafasi ya kazi hapo kama Team Leader amedai kuwa wameambiwa kuwa ofisi haitakuwa ikiwalipa mshahara bali itakuwa ikiwapa...
He has two Year's in Experience of a) Nertwoking Systeam Installation repair and Maintenace, 1. Routing and Switch configuration and troubleshooting, 2. Cabling LAN 3. Wireless Devices...
Jamani naombeni kujua kuhusu ishu za internship au kazi za kujitolea kwa graduates,mimi ni graduate mtarajiwa wa bachelor degree in procurement and logistics management.nahitaji kuju ni jinsi...
TANZANIA POSTAL BANK JOBS , MARCH 2014
BANKING OPERATIONS OFFICERS (3 POSITIONS)-ILALA, IRINGA &MOSHI BRANCHES
Tanzania Postal Bank (TPB) seeks to appoint dedicated, self-motivated and highly...
Habari wanaJf...naomba kuuliza hivi wale waliofanya usaili bank ya damu salama wameshaitwa kazini???kwa maana walisema wataita ndani ya week 2 ila hawakua specific na siku. Nawasilisha.
Serikali inabidi isimamie haya makampuni yanayohusika na uwakala wa ajira. Yamekuwa ni makampuni yanayoendesha unyonyaji kwa kiasi kikubwa sana. Mengi ya Makampuni hayo ambayo yanamilikiwa na...
Salama hapa janvini???
Nilipata simu kutoka wa afisa mwajiri mmoja kutoka Barrick makao Makuu,akinialika kwenda kwenye usaili wa post ya Accounts Payable First Leadership,week mbili zilizopita...
Wana JF hakuna tangazo la kazi nalolipendaga kama hili ambalo limekuwekea namba za simu kwa maulizo, yaani hapa ka mtaalamu wa kujieleza na kinglishi richabo kusema ukweli hukosi kazi haya...
Marian College of Law
Posts
Assistant Account
Administrative Assistant
Dean of students
Librarian
Receptionist
Office assistant
Tutorial Assistants
All applications and testimonials to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.