Ajira, zimekuwa ngumu

Ajira, zimekuwa ngumu

adeni kyomo

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
34
Reaction score
7
Jaman ajira zimekua ngumu, elimu yenyewe ya kujibia mitihani ili tufahulu na sio kwaajiri ya kujiajiri lakini hata ukiwa na skill ndogo ya kujiajili mtaji tatizo nifanyeje?

Na nikitaka mkopo sina assets za kunilinda, chumba chenyewe cha kupanga naomba ushauli wako au kama kuna kazi sehemu nijulishe nimesomea diploma ya accaunt?
 
Back
Top Bottom