Mnyasa originally
Member
- Feb 7, 2014
- 82
- 8
Naona kimya kimetawala kuhusu sajini na konstebo wa zimamoto! Mwenye info atutonye.

Kaa mkao wa kula au kutapka kuanzia sasa mzgo bdo kupelekwa magazetini tu, source mdau jikon .
Naona kimya kimetawala kuhusu sajini na konstebo wa zimamoto! Mwenye info atutonye.
wanatugadisha sana,au ndo kutuchinjia baharini? kwan yatatoka lini[/QUOTE]
Yawezekana wanasubiri janga la moto ili muitwe moja kwa moja kwenye TUKIO.......

Hilo nalo neno mkuu,ila tuvute subila
wanatugadisha sana,au ndo kutuchinjia baharini? kwan yatatoka lini[/QUOTE]
Yawezekana wanasubiri janga la moto ili muitwe moja kwa moja kwenye TUKIO.......
majanga ya moto mbona daily yanatokea huku mchambawima,link yao ni ipi mi niwaulize wanatoa lin
wanatugadisha sana,au ndo kutuchinjia baharini? kwan yatatoka lini[/QUOTE]
Yawezekana wanasubiri janga la moto ili muitwe moja kwa moja kwenye TUKIO.......
Nimeipenda

hahahahahahahaha,mpiganaji we mkali wa maneno!