natafuta internship ya procurement, logistics, stores lengo kubwa ni kupata uzoefu baada ya kukaa mtaan muda mrefu. mwenye nia ya kunisaidia au ushaur wa nn cha kufanya naomba aniPM kwa...
Husika na kichwa cha habar hapo juu mm ni kijana nina elimu ya marketing diploma nilikuwa natafuta kazi ntafurahi kama ntapata kazi namba yangu ni 0788562816
Habari wana JF.
Dada yangu amepigiwa simu kwa No. 0222771853 jioni ya leo akiwa anahitajika kwenye usaili utakaofanyika chuo cha Ardhi kwa post ya Assistant Accountant. Kutokana na tatizo ktk simu...
Wadau mimi ni dereva nilie pitia mafunzo pale NIT elimu yangu ni kidato cha 4 na leseni yangu ni dalaja c,naombeni msaada wenu wadau kama kuna mtu amesikia mahali kunanafasi naomba anijuze.
Poleni na majukumu na uchovu wa safari ndefu ya kuumalizia mwaka ndo kwanza katikati lakini kwa wale wa serikalini hongereni kwa kuumalizia mwaka wa kimahesabu...
Niende kwenye mada, nina post ya...
tunatafuta secretary mwenye uzoefuuuu ambaye anaexperience kutoka kwenye kmpuni nyingine
sifa
awe anajua kingereza
awe ana speed ya kutype
awe amesomea cmputer katika chuo kinachombulika
awe...
Habari za saa hizi wana JF especially wahanga wenzangu wakosefu wa ajira.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo dodosa,nimepata fununu kutoka chanzo changu cha habari {kutoka PCCB} ya kwamba...
Habari zenu wanajamvi, nnaomba kuuliza kuhusu oral interview ya utumishi katika ofic za ppra kwa anaejua specific date naomba anijuze cz toka tar 3 mwez wa tano wamesema tusubir lkn mpka sasa...
Hello, a good customer care lady is available in Dar, with strong marketing skills, interpersonal skills, ready to work under less supervision, highly convincing power, able to answer customers...
Urgently wanted a part time Accounts teacher who can teach Foundations In Accountancy during morning hours up to 2pm on selected days of the week. If you are available and can take up the...
Wadau nimefanikiwa kupita mchuzo wa 10,000+ ya uhamiaji lakini hapa sina ninaye mjua pale uhamiaji au mtu ambaye alishawahi kufanya kazi uhamiaji na hivyo sina referee except kichwa changu tu...
Natafuta kazi ya records management au office assistant pia nina ujuzi wa computer nimesoma ucc microcomputer application pia nimeambatanisha na cv yangu hapo chini
Nauza tray moja kwa sh.6500 naitaj mteja atakaeweza kuchukua tray 140 kwa kila week awe dar au kibaha usafir ni juu yangu ntamletea had alipo awe na pesa cash pamoja na tray tupu ukiitaj kuyaona...
Wakuu,nimeamua kuja na jambo japo kuna watakaoniona tofauti. Nianze na ku declare intarest mi nimiongoni mwa waliohudhuria taifa pale na pia sikufanikiwa kuitwa katika orsl. Pia uchambuzi wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.