Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

World Vision Tanzania is seeking to recruit a suitable candidates to fill the following positions: Job Ref No: WVT/P&C/F13/55 Job Title: Sponsorship and Program Facilitator (192 Positions)...
7 Reactions
49 Replies
31K Views
Vp kuna yoyote mwenye taarifa za hawa jamaa kama wameita watu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mishahara ya manurse wenye degree,wenye diploma za clinical officer, na walimu wenye degree ipoje, ni kiasi gani? Asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa kama kuna mtu ni graphic design pia ana knowledge ya website design hana kazi kabisa yupo tu nyumbani anaweza kunitafuta ili tufanye kazi. ila kazi ni za kutafuta kinachopatikana ndio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Job Description: Agronomist/Commercial horticulturists Two Positions in Dar Es Salaam. Horti Organics LTD is a privately owned limited company established in 2014 to involve in greenhouse...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau oral interview ni tarehe 18 lakini mpaka leo tarehe 16 majina bado, inakuaje?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mimi nina NGO inahusu mambo ya afya, mnaonaje tuungane halafu tuombe ruzuku USAID au Global Fund ili kukabiliana na changamoto mbalimbali.
4 Reactions
50 Replies
9K Views
habari. mim ni final year natarajia kuwa mtaani next month so kwa course niliyosoma ya computer science ningependa sana kuwa mwalimu wa hii fan. so kwa yeyote au anafahamu kuna Institute,college...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ukiona kuna tatzo nahakun jitihada za kumaliza tatzo hii ni hatar. Ni waz kwamb kwa sasa tatzo la ajira katik nchi yet ni kubwa saana na sabab yake n ndogo saana endapo kil upande utaamua...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu, hali ya ajira nchini ni mbaya sana. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za kazi 70 kwa wahitimu wenye shahada moja na kuendelea. Matokeo yake, baada ya mchujo wa majina zaidi ya...
6 Reactions
244 Replies
77K Views
Wana JF, mi nafanya kazi sehemu moja hivi, nina kama mwaka mmoja na miez 8, baada ya kumaliza probation nilisaini mkataba ambao moja ya kipengele kwenye huo mkataba kilisema 10% ya mshahara wangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama mtu anaifaham vizuri hii kampuni kuna mdogo angu kaitwa interview ya marketing and sales ijumaa. Je kazi na misharaha vinaendana!! kwa anaefaham tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakala wa seriali na Mamlaka za serikali za Mitaa (MDAs & LGAs) wametoa kali zaidi ya uhamiaji na Utumishi. Wao walitangaza nafasi moja (1) ya Afisa Ugavi Msaidizi II (Assistant Supplies Officer...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Wakuu, wenye sifa karibuni kuomba nafasi hizi CARRIER OPPORTUNITIES 1. PHARMACISTS – 4 POSTS - Registered Pharmacist 2. PHARMACEUTICAL TECHINICIAN – 2 POSTS -Registered Pharmaceutical Technician...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Coastal high school located at near chumbageni central police station of tanga city announce one vacancy for english language teacher. Applicant must meet the following requaments 1.teacher by...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina shida ya kazi ya kufundisha masomo ya biashara ( o level hadi A level) , mkoa wa daresalaam , kwa masomo ya commerce na book keeping elimu yangu ni degree ya (bed com ) kutoka chuo kikuu cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF mwenye tetesi juu ya nafasi za kazi zilizotangazw na TRA vip majina yanatok lini
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau habari zenu? Naomba msaada wenu. Nina mdogo wangu amesoma ualimu wa chekechea, anatafuta shule ya kufundisha hapa Dar-es-salaam. Hata sehemu ya kujitolea tu (yaani shule ambayo anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa anaeyakumbuka vizuri maswali ya maendeleo ya jamii pale mwl nyerere tukumbushane tafadhali..
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nina shahada ya mipango na maendeleo ya jamii.naombeni msaada wenu wadau nipo dar es salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom