Natafuta kazi ya Udereva

Natafuta kazi ya Udereva

mwechaga

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
334
Reaction score
57
Wadau mimi ni dereva nilie pitia mafunzo pale NIT elimu yangu ni kidato cha 4 na leseni yangu ni dalaja c,naombeni msaada wenu wadau kama kuna mtu amesikia mahali kunanafasi naomba anijuze.
 
NIT,Class C na Form IV huna kazi?Tatizo mnarundikana Dar tu, Mwanza Fortes Car Hire ingekuhusu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom