Masuali ya Koplo wa uhamiaji

Chilai20

Senior Member
Apr 4, 2011
103
9
km kawaida wanajamvi, tusaidiane yale maswali na.majibu ya nafasi za KOPLO ktk hzi interview za UHAMIAJI.
 
Yaani we ni kilaza namba moja maswali ya interview yaanikwe hapa jamvini !!! Ulipoomba ulitegemee maswali utayakuta hapa sio !! Yaani hiki kizazi cha murugo ni shida tupu !!
 
hv unajua maana ya kupanic au unaongea tu!
....haina haja ya kuendeleza malumbano, asante na nashkuru kwa msaada wko mungu atakulipa kwa uyatendayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom