Natafuta kazi ya marketing

Natafuta kazi ya marketing

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Husika na kichwa cha habar hapo juu mm ni kijana nina elimu ya marketing diploma nilikuwa natafuta kazi ntafurahi kama ntapata kazi namba yangu ni 0788562816
 
Husika na kichwa cha habar hapo juu mm ni kijana nina elimu ya marketing diploma nilikuwa natafuta kazi ntafurahi kama ntapata kazi namba yangu ni 0788562816

Sasa kwa nini umeacha kutafuta wakati inaelekea bado hujapata?
 
Ulikuwa unatafuta kazi....sasa umeacha?
 
du kwa mchongo huu kupata kazi ni balaa, aya subiri waliokuwa wanatafuta wafanyakazi waje.
 
Hukuona juzi Uhamiaji wamepeleka watu uwanja wa taifa watu 10,800+ wakati nafasi ni 70 tu
 
Back
Top Bottom