Taarifa zaidi kuhusu PPR oral interview

anna bubelwa

Member
Mar 12, 2013
40
10
Habari zenu wanajamvi, nnaomba kuuliza kuhusu oral interview ya utumishi katika ofic za ppra kwa anaejua specific date naomba anijuze cz toka tar 3 mwez wa tano wamesema tusubir lkn mpka sasa hakuna cha taarfa yoyote ya kuitwa kufanya oral wala hakuna kupigiwa simu na watu tumetoka mikoani hatuna ndugu huku. pia ukisema uondoke dar wenda siku unayoondoka wakaita so naombeni kufahamishwa mwenye taarfa zaid.

ASANTENI
 
Avumiliae mpaka mwisho ndiye atakaepokea taji,huenda na kuwa na subira ni sehemu ya interview
 
yan nimechoka born again acha tu

Anna dada yangu kusema ukweli inachosha sana najua unachokiongelea mimi tu nilikuwa najaribu kukutia moyo ila ni ngumu inahitaji uvumilivu mkubwa sana,kuna msemo unasema kuwa "The bad thing about waiting is you have too much time to think the word WHAT IF"
 
yani iko ndo kinachoniuzi born again yani alafu mtu unadhindwa useme usafir ukafanye mambo mengine maana wat if nasubir iyo oral zen nkafanya af nicpate cz ni watu 4 out of 20.zo writen nilkuwa mtu wa 4 zo hai garantii mtu kufaulu oral.
 
Hongera Anna bubelwa nilifanya na mie hiyo interview hauna budi kusubiri rafiki umalizie hiyo interview ya mwisho

asante kwa kunitia moyo entreprenegro ils inachosha unasubiri interview ya oral mwezi mzima au wanasubir bajet ya mwaka ikae, vp na we upo oral
 
usichoke anna maana huwezi jua alokwandikia mungu kwa hiyo subira siku zote ndiyo njia ya haki na nwenye yupo katika njia ya mwenyezi mungu,endelea kuomba uzima na akujaalie upate kazi hiyo maana yeye ni mjuzi wa yale ya siri na ya dhahiri,AHSANTE
 
ni kwel kabisa Gambayi thnx sana kwa kunitia moyo.
 
usichoke anna maana huwezi jua alokwandikia mungu kwa hiyo subira siku zote ndiyo njia ya haki na nwenye yupo katika njia ya mwenyezi mungu,endelea kuomba uzima na akujaalie upate kazi hiyo maana yeye ni mjuzi wa yale ya siri na ya dhahiri,AHSANTE

mungu akubariki amina
 
inaboa sana kwakweli.mtu unajipa moyo labda wiki hii wataita ikifika hollaaa.
Au watu washaanza kazi?
 
Habari zenu wanajamvi, nnaomba kuuliza kuhusu oral interview ya utumishi katika ofic za ppra kwa anaejua specific date naomba anijuze cz toka tar 3 mwez wa tano wamesema tusubir lkn mpka sasa hakuna cha taarfa yoyote ya kuitwa kufanya oral wala hakuna kupigiwa simu na watu tumetoka mikoani hatuna ndugu huku. pia ukisema uondoke dar wenda siku unayoondoka wakaita so naombeni kufahamishwa mwenye taarfa zaid.

ASANTENI

Noboby knows 2mor..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom