Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

mimi ni mwalimu namalizia chuo mwezi ujao mwanzoni, kama kuna mmiliki wa shule atausoma uzi huu na anatafuta mwalimu anipm nimpe mawasiliano yangu na requirements zingine atakazohitaji (masomo ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jaman wadau? Habari za kwenu? Matumaini yangu mkopoa. Sasa naombeni mnijuze kwa alie fanya interview Equit Bank, kuna ambae ana updates ya kile kilicho kinacho endele?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wanaovuka Kigamboni, kuna tangazo la ajira wameweka, ndugu mkajaribu bahati yenu!
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani mwenye taarifa juu ya Credit Analyst kama wameanza kuita, anijulishe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii elimu yetu sasa inaelekea pabaya. nina mchumba wangu baada ya kumaliza form four nikampeleka chua akasomea Community Development, cha ajabu tangu amalize masomo sasa ni mwaka wa 2 tumetafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tukumbuke kuwa nafasi ni 6 lakn tulioitwa ni 1300 mungu awe nasi sote
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimetoka kwenye intervie now kada Afisa Ugavi msaidizi, I thank God kila kitu kimeenda kama nilivyokusudia, nasema Ahsante Yesu! Ijapo anahitajika m2 m1 kati ya wa2 131, Niwape matumaini wale...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Haya tena accoutants,mazingira na tarafa nk yote yanapatikana kwenye tovuti yao,km uko mbali nipm no yako nikuchekie
1 Reactions
0 Replies
2K Views
MIKOPO FINANCE LIMITED EMPLOYMENT OPPORTUNITIES MIKOPO FINANCE LIMITED is a registered rapidly expanding Tanzanian based lending institution micro finance that offers short and long term...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MIKOPO FINANCE LIMITED EMPLOYMENT OPPORTUNITIES MIKOPO FINANCE LIMITED is a registered rapidly expanding Tanzanian based lending institution micro finance that offers short and long term...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wapedwa kwa waliofanya usaili techo brain,simba technology,utumishi na bmtl vipi wameshaanza kuita watu kwa wenye updates jamani tuepeane taarifa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIKOPO FINANCE LIMITED EMPLOYMENT OPPORTUNITIES MIKOPO FINANCE LIMITED is a registered rapidly expanding Tanzanian based lending institution micro finance that offers short and long term...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, kama kuna alieitwa TPDC kati ya wale tuliofanya interview ya mwisho tupeane update please
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana JF, nilifanikiwa kupita katika mojawapo ya mikataba ya waliopata nafasi ya freelancer ya postal bank, haya ni baadhi tu niliyoyaona kwenye mkataba. Nitanukuu baadhi ya vipengele ni...
2 Reactions
64 Replies
11K Views
habari wadau wa jf kwa habari nilizopata muda huu ni kwamba nafasi za ajira jeshi la polisi zimetangazwa leo kazi kwenu wadau mimi bado naendelea kusoma!!!!!
0 Reactions
12 Replies
4K Views
naitwa nassoro natafuta kazi yarecords management au office assistant naomba mnisaidie cv yangu hiyo hapo chini
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je una shida ya usafiri....? Kama ndio jibu lako ni Precious transport services company Tunatoa huduma za usafiri wa aina zote. 1.usafiri kwa ajili ya sherehe mbali mbali kama vile harusi,sendoff...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wanajamvi kwa wale ambao mtafanikiwa kuelewa kama matokeo yakitoka tufahamishane tafadhali ili tujijue hatma yetu.Nawasilisha jamani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina certificate ila ninauzoefu Mkubwa hata naweza kufanya vitu vingi kwenye computer kuzidi mtu mwenye diplomer au degree
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Nina degree ya science in insurance and risk management with upper second class nina uzoefu kidogo,niko free kwa sasa kwa atakayenihitaji.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom