Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ndugu wanajamii naombeni update mwenye nazo kuhusu hao jamaa walipiga written interview on June 11 mwenye taarifa atujuuze maana huwezi pata popote hadi wakupigie simu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tukumbushane jamani watu walikuwa wengi balaa
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wana JF vipi updates za TRA au ndo wanachakachua
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam wadau, kwa yeyote anayeweza kunisaidia nimeajiriwa mwaka huu niko wilaya ya Lushoto nataka kurudi Tanga mjini au mkinga kwa anayeweza kunipa msaada jinsi gani naweza kuhama.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta house girl wa kupika, kufanya usafi. Awe na mahali pa kuishi kwani kwangu atakuwa anakuja kufanyakazi, muda wa kazi ukiisha anarudi nyumbani kwake/kwao. Kwa taarifa zaidi tuma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WADAU NAOMBA KUJUZWA TASAF WAMESHAITA WATU KWENYE INTERVIEW FOR THOSE POST OF PAA-TECHNICAL ASSISTANT MONITORING OFFICER???Nawasilisha
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Waungwa nimeona si vibaya kushare na ninyi nafasi za kazi zilizo tangazwa na hapa ninapopatia rizk... hizi sio local posting ni za kimataifa.. na application process ni simple,, fungua doc ya...
8 Reactions
58 Replies
7K Views
Salaam wakuu na habari za Jumapili ya leo...Ndiyo natoka kwenye Misa muda huu moja ya nia yangu kwenye Misa ya leo ilikuwa nikumwomba Mungu aniongoze katika uamuzi wangu wa kutuma ama kutotuma...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
nahitaji kazi 1 kati ya hizi popote...ufundi computer,bank teller/care,udereva,ualimu wa utalii na kiingereza,nina masters ya utalii,nina diploma ya juu ya i.t.,nina diploma ya juu ya lugha ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do you want to work for an independent creative international club providing you with the opportunity to really put your mark on the business want to be in the heart of Dare salaam city? Thrive...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Have you ever asked yourself why only 1% of the world’s population owns almost 96% of all the money? ,why some people are so successfully in their endeavors and others are not? It is simple...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau mnaojua kuhusu hii kampuni mnijuze wanafanya vp maana nimewahi kuitwa interview kule lakin sikuelewaelewa vizuri procedures zao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana-jf. vijana tusiokuwa na ajira tuombe fursa ya kuandikisha daftari la wapiga kura. Naomba yeyote anayeweza kutusaidia jinsi ya kupata fursa hii atusaidie. Au yeyote mwenye uelewa wa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Ni muda sasa umepita tangu hii kampuni itangaze nafasi za kazi. Katika masharti yao walitaka ujaze form yao kisha uitume kwa kutumia email waliyotoa. Katika form yao kuna sehemu walitaka ujaze...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Je cc tuloishia form 4 zpo ? Maana tunaona wenye degree n diploma tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF wenzangu, mwenzenu ni nina shida nahitaji msaada wenu, nimehitimu mwaka jana Ordinary Diploma ya Electronics and Telecommunications pale Arusha technical college. Nimeangaika...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba anayejua kampuni ya ORGANIA LTD anifahamishe manake nimeona wametangaza kazi ya procurement manager nataka kuomba. Nimegoogle lakn cjaipata cjui hawana website au vp. je inadeal na nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mwenye kujua hawa jamaa bank ya makabwela hua wanatoaje maswali msaada pls!! Pia ningejua hua wanafanya aptude test au oral interview! Nimeitwa kwenye usaili jumamosi mwanza,saa tatu...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Wadau heshima kwenu, tuna harakati za mwezi mmoja na nusu sasa, katika kuanzisha jumuiya kubwa tanzania, lenye jina la tanzania graduate association, lengo letu kubwa ni kuweza kujiajiri...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Awe na miaka 18 nakuendelea,asiwe na mtoto, awe mwaminifu, asiwe na tatizo lolote, awe msafi na asiwe mvivu mawasiliano.eneo la kazi dsm 0683142500;
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom