Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
natafuta internship ya procurement, logistics, stores lengo kubwa ni kupata uzoefu baada ya kukaa mtaan muda mrefu. mwenye nia ya kunisaidia au ushaur wa nn cha kufanya naomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. nipo dar.