Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari! Ni habari njema kwa vijana na hata watu wazima pia. Ni nafasi za kazi na tenda kwa ujumla!,yaani tunakualika leo ufanye kazi nasi katika kampuni yetu bila kujali unasoma au unafanya kazi...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Naomba kufanya kazi ili nipate uzoefu hii nikutokana na ajira zilivyongumu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, nimeenda kuripoti kwenye kituo cha kazi ijumaa iliyopita. Hiyo kazi nimeipata kupitia Utumishi. Huyo Afisa utumishi anataka leaving certificate ya A level na O level...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Wanahitajika wasichana wenye uzoefu wa kazi ya kuhudumia wateja kwenye Pub ya kisasa, hata kama huna uzoefu wa kutosha ila unahisi na unapenda kufanya kazi hii unakaribishwa. Mshahara maelewano...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi nilikiwa mwalimu wa leseni yaani induction course ! nimeshajiendeleza na kupata shahada ya ualimu miaka 2 iliyopita. Tatizo lipo kwenye kubadilishiwa mshahara yaani mpaka sasa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
TANGAZO LA KAZI 1.0 NAFASI YA MHARIRI WA VIDEO NA PICHA Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kinawatangazia Watanzania wote hususan Wanachama nafasi ya kazi ya Mhariri wa Video na Picha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakubwa nisaidieni maaana nchi yetu ndo ilivyo maisha magumu sisi watoto wa maskini mdogowangu kapiga mwaka wa kwanza kakwama na mimi ndo nimeishiwa wapi anaweza pata taasisi au kampuni au...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Habari, nawashukuru mliojitokeza na wengine nawakaribisha tena watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea! kama unajiamini unaweza kuwa muaminifu na ukafanya kazi nzuri ni PM namba yako ntakutafuta...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
kuna jamaa anatafuta kazi ya kununua mwenye konection an pm
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Natafuta ajira kwenye shule yoyote masomo yangu ni geography na kiswahili. elimu yangu ninadegree ya BAED. Ninauwezo wa kufundisha o-level na A-level kwenye masomo hayo Atakayenihitaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Samahani jamani msaada wenu tafadhari nina ndugu yangu anahangaika kusaka ajira bila mafanikio anaelimu ya secondary,amesomea kozi za computer , graphic design & video...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PLUS FINANCE LIMITED P.O. Box 75779, Magomeni Morocco Hotel, Mtaa wa Iddrissa, Dar Es Salaam; Mobile: 0712 799 747 E-mail: plusfinancemd@gmail.com JOB POSITION FOR CREDIT OFFICER Number of...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau poleni na majukumu, kuna ndugu yangu anaenda kwenye interview kesho kutwa(17/07) ila amesoma nje ya nchi na cheti chake bado hakijapita TCU. Je, watakubali afanye interview na kupata kazi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanaJF, kuna kampuni moja kubwa kwa jina hapa Tanzania na muhimu katika nchi yetu. Cha kushangaza ni kwamba tangu watuwaajiriwe hawaja sign contract. Pili malipo kwa mwezi ni 105000Tsh tu...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Wakuu,nina elimu ya kidato cha sita.Nina uzoefu wa masuala ya kibenki kwa muda wa miaka 6 sasa,japokuwa nilitoka kazini mwaka jana kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Ninaomba msaada kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namiliki Fuso na Isuzu, nahitaji tenda ya kusambaza udongo, kokoto, mawe, mchanga na moram katika sait ama eneo lolote hapa Arusha Bila longo longo na kwa muda mfupi tunarekebisha eneo lako la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nakuja tena hapa jukwaani kuomba mwenye kuniwezesha anisaidie jamani, hali ni tete familia imekosa amani, nina uwezo wa kufanya kazi yoyote na pia nina leseni ya class C na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina taaluma ya uchumi na takwimu ya chuo kikuu Mlimani, ndugu wanajamii forum hakika nimeamini elimu si madesa tu. kipindi nikiwa nasoma nlitumia muda mwingi na juhudi nyingi ili niweze kufaulu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani hawa sekretarieti ya ajira mbona hawana pass marks hii tabia inaonesha jinsi gani wanavyopokea rushwa. Maana kuna watu wanapata mtihani migumu 98 had 90 na hakuna area of...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wakuu... Tunatafuta designer wa kubuni na kukodisha mavazi aliye morogoro kwa ajili ya kufanyia video ya wimbo, Note: Hii itamsaidia designer kujitangazisha kwenye soko la ubunifu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom