Written interview utumishi

Written interview utumishi

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Wadau poleni na majukumu, kuna ndugu yangu anaenda kwenye interview kesho kutwa(17/07) ila amesoma nje ya nchi na cheti chake bado hakijapita TCU.

Je, watakubali afanye interview na kupata kazi then baadae ndio afuatilie muhuri wa TCU? na je, kama kuna cheti kimojawapo huna lets say cha form 6 utaruhusiwa au watakuzuia?

Asanteni
 
Vyovyote utakavyo jibiwa na wadau hapa isimfanye MTU kuto kwenda interview yeyeaende tu interview ndio Kazi co vyeti
 
Aende tu, kwani aliitwa vipi interview kama vyeti havikuthibitishwa maana ktk tangazo la kazi huwa wanataka certified vyeti.
 
aende ila na majibu mawili kukubaliwa au kukataliwa, lakini wanakagua vyeti kabla hujaingia kwenye usaili wa kuandika.
 
Nenda utajua huko

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
aende tcu wampe barua kwamba bado hawajakithibitisha cheti chake. ili aende nayo kwenye usaili.
 
Back
Top Bottom