ANAITAJIKA muhasibu mwenye kujua tally accounting na mchapa kazi,tuma CV YAKO KWA PM
Please zingatia maelekezo uliyopewa kwenye application hii,Asante usitume PM Kama wewe umeova qualify
Best of...
Habar wana jf mm ni muhitimu wa ngazi ya Diploma in Marketing management nimeitwa kwenye interview kampuni moja hivi siku ya juma tatu sasa nilikuwa naomba munifahamishe kiwango sahihi cha...
tunatafuta mtu anayeweza kupdate site yetu , facebook, twitter, na instagram na website
sifa:
awe anauzoefu wa kupost na kupdate habari toka kwenye kampuni ingine\
awe anajua kuhariri habari...
Tunatafuta sales officers wa kuleta matangazo kwenye gazetii
Sifa
Awe ameshawahi kuleta matangazo ya biashara kwenye kampuni ingine either gazet au radio
Awe anauwezo wa kuzunguka...
Naitwa ally nauza ofisi ambayo mwanzoni ilikuwa ni sehemu ya biashara ya kuuza vifaa vya simu,kuburn,kutengeneza cm na kuingiza nyimbo ktk cm,ofisi ipo tabata liwiti,ina...
Habari wana jf naomba msaada nina degree ya archaeology toka chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Najitahidi kupitia matangazo mbalimbali ya kazi sija kutana na tangazo linalo hitaji wadau walio...
Kwa wakuu wote wa shule wanaotafuta/hitaji walim kwa o-level na a-level kwa masomo ya economics, geog, eng, math, gs, hist, kisw, civics kwa a&o level wanapatikana hapa ni wazoefu na wote wana...
Mimi ni mwalimu niliemaliza chuo kukuu cha dar es salaam masomo ya science chemistry na biology na gpa ya upper second average ya mwaka wa kwanza na wa pili ila natarajia kumaintain au kupandisha...
Wadau mke wangu ni form four leaver ya 2008 na ana points 29 lakini familia zetu za kibongo kwao hawakumuendeleza na nimekuja kumuoa hajasomea fani yoyote ila life la kunitegemea mimi tu kiujumla...
Nimetuma barua jana utumish ya maombi ya kazi kwa barua iliyochapwa,baada ya kuipeleka posta nikaja kukumbuka kuwa sijaweka sahihi yangu katika ile barua.
Sasa nimekosa raha kabisa kwani naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.