Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari! Nina rafiki yangu ni askari yupo katika moja ya kambi za mafunzo jeshini, personally ni graduate 2012 japo nimepata pa kujishikiza ila nilikuwa na interest ya kujiunga na TPDF...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Natafuta mwalimu wa somo tajwa juu (F5 syllabus mpya ya NBAA), Napatikana 0688 668 385/0764 590 690
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani jamani saa tisa hiyo jtatu hii mpaka sasa bila bila majina ya koplo na konstebo ya uhamiaji kimya !! Mwenye taarifa majina yatatoka lini atujuze wa jf
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys! I am on a final process to acquire a 8m loan from one of reputable commercial banks in TZ! Any business idea please! Viable idea shall be awarded. Thanks in advance
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta kijana wa kunisaidia kuuza sahani kwa njia ya kupigia debe maeneo ya ubungo stend ya daladala na kimara mwisho!!Malipo maelewano napatikana 0719129650 na watsapp pia.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwenye application form ya Viettel please naomba anitumie manengula@gmail.com maana niliapply enzi zile za egotel na nika-submit kumbe limechukua shirika jingine mimi sikuwa na taarifa. So...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wakuu waJF naomba kwa yeyote anaewafahamu vizuri hawa jamaa wa RE/MAX TANZANIA anijuze wanajishughulisha na nini haswa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau natafuta kazi katika salooni ya kiume....mimi ni msichana mawasilano yangu kwa yeyote mwenye hizo dili,ni 0653362784
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KADA:COMPUTER SYSTEM ANALYST II (MOBILE APPLICATION) MWAJIRI: eGOVERNMENT AGENCY NUMBER SCORE REMARKS eGA-CSAII-MOB-APP PRACT-005 5 NOT SELECTED eGA-CSAII-MOB-APP PRACT-001 2 NOT...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
JOB DESCRIPTIONApplication DeveloperPOSITION : Application Developer DEPARTMENT : Technical Department LOCATION : Push Mobile Main Offices REPORTS TO : Head of Applications DevelopmentSummary:The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, naomba vijana kumi, wenye laki tatu kila mmoja, lengo ni kuunganisha nguvu ya mtaji kwa kuanzisha vyuo vinavyotoa certificate kama vile zoom, the genesis n.k...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Natafuta msichana wa kufanya kazi ktk salon ya kiume... Ipo Dar- Ubungo.......mshahara wa ukweli..... Simu 0752-109265...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mhusika huko, au kama uko huko (kiwira), naomba kufahamu machache kuna vijana wangu wapo huko hawaishi kuniomba pesa ya vitu ambavyo inaonekana mwanzo havikuoneshwa kwenye maelezo. Sasa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wadau niko vizuri sana katika hizo lugha, kama kuna kazi naweza fanya, nisaidieni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear JF Members! I have heard that some of applicants have received courtesy calls to report for career commencement at PPF! Are these results of the same interview that was conducted at...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani hivi hawa Viettel walitoa nafasi zipi, sababu nimeambiwa niapply upya lakini nishasahau nafasi walizotangaza, msaada mnikumbushe. Pia kama kuna mtu ana email yao nashukuru sana kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awe na uwezo wa; kusuka na kuchana nywele mitindo yote. Kupamba maharusi. Uzoefu wa kutosha. Piga 0682 955 468/0758 976 766 Tupo nyuma ya Ubungo plaza.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
this is all about business idea for telecommunication companies as a tactic to reduce the cost of company's adverts and increase sales at 53% also i have a business opportunity for banking...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.. Nilikua nauliza mwenye taarifa yoyote kuhusiana na hiki kiwanda cha saruji kama kimeanza kazi, na vipi kuhusu ajira zao?
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Nina degreeya Archaeology, naomba kazi ya kufundisha HISTORY. Nikiwa chuo nilisona baathiya ” course” kama EP 101 na CT100 ninauzoefu wa kufundisha wa mwaka mmojakatika shule ya secondary pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom