Msaada twa kubadilishiwa mshahara baada ya kuongeza elimu

Lee2

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
46
Reaction score
16
Mimi nilikiwa mwalimu wa leseni yaani induction course ! nimeshajiendeleza na kupata shahada ya ualimu miaka 2 iliyopita.

Tatizo lipo kwenye kubadilishiwa mshahara yaani mpaka sasa sijabadilishiwa.

Hatua nilizopitia ni pamoja na kupeleka taarifa zangu ofsi ya utumishi wa umma,mkurungezi WILAYA lakini bado kubadilishiwa.

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua namna nyingine ya kuweza kutatuliwa tatizo langu.
 
Mkuu wewe ni Mtanzania? Hujui kwamba bila kuingia mfukoni utoe kidogo mambo hayaendi?
 
Mimi nilikiwa mwalimu wa leseni yaani induction course ! nimeshajiendeleza na kupata shahada ya ualimu miaka 2 iliyopita.

Tatizo lipo kwenye kubadilishiwa mshahara yaani mpaka sasa sijabadilishiwa.

Hatua nilizopitia ni pamoja na kupeleka taarifa zangu ofsi ya utumishi wa umma,mkurungezi WILAYA lakini bado kubadilishiwa.

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua namna nyingine ya kuweza kutatuliwa tatizo langu.

Hongera kujikomboa mkuu, jamaa wanawadharau sana walimu wa leseni nenda kwa mkurugenzi hao wengine wababaishaji.
 
mshahara haubalishwi kwa kusoma ila unaongezeka kulingana na utendaji kazi wako na kukaa kazini,huwezi kuongezewa mshahara una miaka miwili kazini,taratibu zinasema mpka baada ya miaka mitatu kwa kutumikia daraja husika .
 
Ofisi ya Utumishi wa Umma hawanauwezo wowote nenda kwa muajiri wako then muajiri wako atawezakuangalia kama unastahili na kama unastahili basi utaingizwa katika mfumo na afisa utumishi wa wilaya yako.
 
Mimi nilikiwa mwalimu wa leseni yaani induction course ! nimeshajiendeleza na kupata shahada ya ualimu miaka 2 iliyopita.

Tatizo lipo kwenye kubadilishiwa mshahara yaani mpaka sasa sijabadilishiwa.

Hatua nilizopitia ni pamoja na kupeleka taarifa zangu ofsi ya utumishi wa umma,mkurungezi WILAYA lakini bado kubadilishiwa.

Naombeni msaada kwa yeyote anayejua namna nyingine ya kuweza kutatuliwa tatizo langu.

andika barua ya kuomba kubadilishiwa muundo wa utumishi baada ya badiliko hilo unaomba kubadilishiwa daraja la mshaara unatuma kwa mkurungezi wako
 
Back
Top Bottom