Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

someni majina yenu ili mjue mnakopelekwa na kwa wale waliofoji barua tumeshawagundua fuateni taratibu mie nafurahi nimetolewa kijijini napelekwa mjini A town
4 Reactions
29 Replies
46K Views
Habari wakuu nimepata kibarua somewhere ila tayari nilikuwa na Duka langu dogo hivi asa siwezi kujigawa huku na huku so kama kuna kijana awe wa kike au kiume awe anajua hesabu vizuri. Pia awe...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau tafadhali mwenye taarifa kuhusu kuitwa kazini na tume ya utumishi wa mahakama atujuze tafdhali..
0 Reactions
2 Replies
4K Views
PLUS FINANCE LIMITED P.O. Box 75779, Magomeni Morocco Hotel, Mtaa wa Iddrissa, Dar Es Salaam; Mobile: 0712 799 747 E-mail: plusfinancemd@gmail.com JOB POSITION FOR CREDIT OFFICER Number of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HELLOW GUYS, mwenye taarifa na hiyo workshop inafanyika lini baada ya matokeo ya mwezi wa tano nimecheka kwenye website yao lakini naona hawajaweka hiyo download, wameweka link tu ila file husika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi everybody, I'm 22-year-old boy, a university student currently working as an apprentice proofreader in a certain English newspaper here in Dar. Besides, I am knowledgeable in Cinematographic...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
wadau napitia gazeti la daily news naona wametoa majina ya wakaguzi wasaidizi 70 waliofanikiwa ktk usaili hongereni sana wadogo ,mkajenge taifa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO...
0 Reactions
45 Replies
13K Views
Jaman tushauriane. Graduates kila mwaka wanamwagika, na ajira hazipatikani. Watu wanadhani nchi hii ilikuwa hivi tangu zamani. Miaka ya 80 tulipo hitimu A Level na Chuo kazi zilikuwapo si kwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
(Russell Hobbs/JD Pharmacy company ) Habari wana jf,kwa yeyote mwenye taarifa juu ya hii kampuni. Tajwa hapo juu juu ya 1: salary packages zao zipoje 2:enterview question zao zpoje Ntashukuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Nimepokea ujumbe ukinitaka niende kwenye interview lakini tatizo sijajua hawa jamaa mitihani yao inafananaje. Naomba kwa yeyote mwenye info wa mitihani ya hawa jamaa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari! Kwa mara nyingine tena natangaza nafasi za kazi, nawashukuru mliojitokeza tuliofikia muhafaka tayari tupo kazini,na wengine nawakaribisha zaid kwenye hii biashara ya mtandao. au ni pm...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada wakuu nina digrii ya commerce ntafuta internship mahali naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kindly see the attachment for details
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf hali mbaya naomba nafasi ya kujitolea mkoani mbeya. Nina shahada ya uchumi. Please msaada wenu wana jf
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa anaefahamu kampuni yoyote ile inayousiana na kampuni za umeme wa majumbani (kufuma wiring) naomba anijuze jina la hiyo kampuni,ukiachana na tanesco
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, naomba kujua kwa anayejua ni lini wataita watu kazini maana muda umepita tokea may mpaka Leo wapo kimya. Zaidi wametoa kazi nyingine za mahakimu 300 ukimya wao unaweza fanya watu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina shahada ya librarianship au ukutubi, naomba mwenye kujua sehemu wanaotafuta mkutubi anijuze, nipo tayari kufanya kazi kama volunteer ili nipate ujuzi, iwe shuleni au vyuoni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wadau mwenye tetesi ju​u ya hawa jamaa wa Dawasa , maana kimya sana.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna mwl anataka kuhamia Ngara Kagera kutokea Dodoma mjini au Chamwino,tuwasiliane 0789 123461.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sikupendezwa tarehe 5 July kuona tukifanya mtihani wa usahili tukiwa na simu/smart phone. Nilishazoea sehemu zingine iwe chuoni tukinyang'anywa simu! Anyway hongera kwa walioshinda!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom