Tuya
JF-Expert Member
- Aug 30, 2008
- 312
- 79
Habari ndugu zangu.
Samahani jamani msaada wenu tafadhari nina ndugu yangu anahangaika kusaka ajira bila mafanikio anaelimu ya secondary,amesomea kozi za computer , graphic design & video production toka VETA na pia anauzoefu alishawahi kufanyakazi kama Secretary kwenye Taasisi fulani .
Msaada jamani mwenye tetesi mahali .
Ahsanteni .