Baba promi
Member
- Jul 13, 2014
- 16
- 4
Habari wakuu...
Tunatafuta designer wa kubuni na kukodisha mavazi aliye morogoro kwa ajili ya kufanyia video ya wimbo,
Note: Hii itamsaidia designer kujitangazisha kwenye soko la ubunifu nchini, pia ataweza kujipatia kipato kwa maelewano tutakayopatana.