Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ninakipaji kizuri cha kutunga mashairi na tenzi zenye mvuto,lugha mwanana zenye kufuata urali wa vina na mizani. Naomba wasanii chipukizi, waimba taarabu, kamamnahitaji hudumahii niko tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliitwa intavyuu ofisi flani, tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo. Mimi nilikua wa kwanza nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari!. Kampuni ya Forever Living Products,inatoa fursa kwa watu wote bila kujali umri wala elimu yako,mnaosoma pamoja na mnaofanya kazi kujiongezea kipato cha ziada kupitia biashara hii...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Salama jamani. .. Wakuu kuna nafasi ya kazi kwa mtu akiyesoma au baada ya degree ya kwanza kupita chuo cha kodi (ITA) au chuo cha Usafirishaji.Kampuni moja ya uwakala wa forodha ya kitanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa jamaa PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS) ni takribani mwezi mmoja umekatika leo toka Usaili uliyofanyika tarehe 14.06.2014 (written interview) na Tarehe. 18.06.2014 (Oral...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,napenda kuomba kwa member yeyote mwenye uhitaji wa mambo yafuatayo ili awasiliane nasi, Kozi ya lugha ya kiingereza,kozi ya lugha ya kiswahili kwa wasiojua lugha hiyo.Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari wakuu natafuta field nipo mbeya mjini,nmejaribu kutafuta naona kila sehem pamejaa
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Napenda kumshukuru mungu kwa kunijaalia nafasi hii ya kipekee maana bila Mimi peke Yang nisingeweza anijaalie moyo wa kujituma kwa bidii bila kuchoka, pia nawashukuru sana wana JF na ambaye...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu nafasi ambazo sumatra walizitoa mwez wa 5 kama walishaita kwa usaili coz nimeona wametoa nafasi nyingine, so pengine labda walishamaliza ile biashara ya mwanzo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefanya interview jana utumishi bt mwajiri ni PPRA swali langu ni kuwa, nimesikis sasa hiv mtu yoyote aliesoma procurement hawezi kuajiriwa as procurement oficer au kwenye field yoyote...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
ninatafuta kazi nina diploma ya business management
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman japo cjui mtu na wala ckutoa centi lakini thank God mtoto wa mkulima nimeitwa UHAMIAJI
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Anahitajika mfanyakazi wa stationary awe na uwezo wa Kutumia microsoft application, internet, uwezo wa kukidhi mahitaji ya wateja kwa kiwango cha juu, awe na elimu ya cheti ya secretarial...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani msaada wenu kwa anayefahamu kwani nimejaribu kufatilia na kuuliza kwa baadhi ya ma afisa utumishi lakini wanadai hakuna walaka ambao wamepokea toka utumishi. Kwa taarifa ambazo ninazo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu,,,ni mara ya kwanza kuitwa kwenye interview,nmeambiwa ni aptitude!,,nini maana yake?,nliomba storeman position,nijiandae kwa lipi?,,naomba ushauri hapa
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Mimi naomba kwa mara ya kwnza kazi TRA online kwenye kujaza fomu sehemu ya kujaza tarehe ya kuanza chuo na kumaliza inaniambia nimekosea. Hivi inawezekana wanataka tarehe ya kuingia exactly na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamii hz siku 2 zilizopia kuna posti mbili zilikuwa znasema,Nanunua kazi kwa sh.ml 1 na nyngne Nitakupa mishahara yangu ya miezi 3 nisaidie kupata kazi,jamani kwa mtazamo hv ni sahh kweli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A girl with a good command of swahili and English languages,certificate/diploma in secretarial course stage 111 at magogoni or saint Joseph tanga or other reputable commercial colleges,touching...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana nimemaliza form 4 natafuta kazi mojawapo kati ya hizi, stationary, au kuuza duka. Nimesomea computer pamoja na masomo ya biashara yaani commerce na book-keeping kwa sababu hiyo nina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom