Calamity
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 856
- 47
wakubwa nisaidieni maaana nchi yetu ndo ilivyo maisha magumu sisi watoto wa maskini mdogowangu kapiga mwaka wa kwanza kakwama na mimi ndo nimeishiwa wapi anaweza pata taasisi au kampuni au shirika la kujibanza kwanza lili akatafutekaro najua ndoto yake ilikuwa ni kupiga hadi masters degree asante najua mtanisadia.