Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niajeeeeeee Naskia rangi ya majani mabichi na manjano wameanza kukusanya magaidi uko mtaaani[emoji1787],,wataenda kujibu kwa mwenyezimungu siku moja wallah![emoji120] Kuna vitu vya kuogofya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, sasa ndoa za kileo ni za hatari sana, Tukiachana na zamani: 1. Ndoa za leo ni misukosuko. Wanaume wanaoa kitu kwa mtu badala ya yeye mwenyewe. 2. Mtu anaolewa na mtu kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Huu ni ukweli mtupu,hawa feminists wengi ni wahuni tena wamechangia kutuvurugia ndoa nyingi sana na kuziacha familia zikiwa hoi. Naomba ntajiwe feminists 10 wa hapa nyumbani wenye ndoa halali na...
9 Reactions
18 Replies
985 Views
Hakuna Mwanaume malaya, Wanaume wengi wanapitia magumu kwenye utaftaji wanajinyima wasile ili familia zao zipate. Mwanaume ni mtawala wa Mwanamke siku zote ni lazima aheshimiwe. Wanawake...
13 Reactions
57 Replies
5K Views
Kama ni mke au mume sawa, lakini siyo penzi jipya basi tupunguze au kuacha kabisa kujielezea mambo yetu binafsi. Iwe ni kuhusu wazazi wetu au sisi wenyewe. Nasema hivyo maana mapenzi ya siku hizi...
20 Reactions
70 Replies
3K Views
Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Jamani naomba tumsaidie huyu ndugu yangu. Amepata mwanaume Mkenya. Je wako vizuri? Mimi nimeshindwa kumjibu, naomba tumsaidie.
1 Reactions
4 Replies
845 Views
Rafiki yangu anapitia changamoto ya kuwa mbali na mpenzi wake au niseme mchumba wake, hii inamfanya amuwaze sana, anakosa hamu ya kula, hatoki tena misele na sisi yeye ni kulala tu ukimuuliza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
MKASA WA DOKTA MELLUS TSHUBE... Alikuwa kawaida tu. Hakuonekana kuwa na msongo wa mawazo. Aliendelea na shughuli zake za kila siku kama kawaida. Hata, Feb 2 mwaka huu, alipost picha akiwa na...
11 Reactions
145 Replies
10K Views
Habari ndugu zangu.. Mimi sijaenda kwenye nyumba za ibada nipo hapa nawaza sana jinsi viongozi wadini wanavyo changia ndoa nyingi sana kuvunjika kutokana na mafundisho yao ya kila siku. Kwenye...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka? Mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida. Kwani huyo mwanamke wake ni mtoto? Si...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Katika ulimwengu huu wa mapenzi niliwahi kusikia kuwa ili kumfanya mpenzi wako akuamini sana wewe yapo mambo msingi ambayo unatakiwa kufanyia mwanamke huyo. Pia wataalamu wa mambo wanao msemo wao...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Rafiki yangu anapitia changamoto ya kuwa mbali na mpenzi wake au niseme mchumba wake, hii inamfanya amuwaze sana, anakosa hamu ya kula, hatoki Tena misele na sisi yeye ni kulala tu ukimuuliza...
0 Reactions
9 Replies
823 Views
Habarini nyote Bazzukulu, Nawakumbusha wanaume kuwekeza kwenye ubunifu wakati wa kula tunda ikiwa ni pamoja na kuicheza ngoma ya mlo wa tunda kwa kumkatikia mwanamke mauno yenye ustadi wa hali...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwema wana jukwaa? Kuna jamaa yangu kakumbwa na mkasa amenisumulia nimebaki kinywa wazi. Ni hivi jamaa anaishi na mke wake na ndoa haina muda mrefu akiwa anajishughulisha na kazi za miradi...
14 Reactions
80 Replies
8K Views
Jamaan WiFi yangu kokote ulipo unaeitwa Lamama naomba uje Kijana wangu amekupenda kimapenzi lakini umemwacha solemba anaumia kimapenzi Lamama kokote ulipo ntakuita njoo. NYUZI ZINGINE BY ME...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Ukitaka salamu nenda Pemba au Unguja, kwangu utaula wa Chuya Kwakuwa mmeamua kukubaliana na Makahaba ya mjini na yasiyokuwa na ndoa ila kazi yao ni kuachanisha ndoa za watu, inapaswa uamue...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom