Tupunguze kunisema wazi mno kwa wapenzi wetu wapya

Smartgal911

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,041
1,716
Kama ni mke au mume sawa, lakini siyo penzi jipya basi tupunguze au kuacha kabisa kujielezea mambo yetu binafsi. Iwe ni kuhusu wazazi wetu au sisi wenyewe. Nasema hivyo maana mapenzi ya siku hizi hayadumu, mkiachana tu ni rahisi huyo ex wako kukuchafua kwa wengine kutokana na historia ya maisha yako.

Ukipata mpenzi fanyeni yaliyowakutanisha then kila mtu aendelee na mambo yake.

Nakumbusha, kuachana kupo tusijielezee sana haitokusaidia kitu historia ya maisha yako kubaki nayo ex wako.
 
As long as mnaendelea kuwatahiri Watoto wenu wa kiume mahospitalini kwa ganzi, hayo mambo ya kuweka Siri hadharani mtaendelea kukutana nayo.

Yaani siku hizi Unalala na Mwanamke saa 4 asubuhi kufikia saa 10 jioni umeshawaambia Marafiki zako wote

Au umelala na Mwanaume saa 7 mchana kufikia saa 9 jioni umeshaposti Mtandaoni kuhusu Kibamia Chake.

Turudishe mafunzo ya Jando na Unyago kwa Vijana wetu.
 
Nimekuelewa mkuu...Yaan kutunziana Siri hakupo tena Grahams
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom