Mamboz,
Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni...
Wakuu habari zenu..
Kuna Bidada mmoja nimetokea kumpenda sana. Lakini sasa kila gia nikiingiza yeye zote nimechomoa ila hiyo moja tu ya nina mtu wangu inaninyima amani asee.
wakuu si kweli kwani...
Hello JF family,
Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na...
KWANINI WANAWAKE KAMWE HAWATAKI WAWE MATAJIRI??
Wakati mwingine nikikaa peke yangu nakuwa na maswali yangu halafu mengine ninapata majibu haraka sana. Ni majuzi kati tu hapo nimekuwa nikijiuliza...
Jamani nina swali nataka kuuliza,utakuta mtu ana mke wake halafu anamtongoza mke wa mtu na kujinadi kwake kua ana mpenda mpaka hana amani hivi hapo anakua amempenda au ametamani kua naye?.
MAPENZI raha yake ni kupendana. Yananoga zaidi wapendanao wanapopendana kwa asilimia mia. Mwanaume ampende mwanamke kwa kiasi hicho, vivyo hivyo mwanamke ampende mwanaume. Hapo ndipo utaiona tamu...
Huyu si mwingine Bali ni mom's boy.
Hii ni term inayotumika kumwelezea mwanaume ambaye anamtegemea Mama yake katika umri ambao anatakiwa ajisimamie mwenyewe.
Ni mwanaume ambaye hawezi kufanya...
When choosing a woman who works, you have to accept that she can't handle the house all alone.
If you have chosen a housewife who can take care of you and fully manage your household, you have to...
Niulize kwanini......
Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya...
Zamani tuliwasikia wazee wetu wakilikataza jambo hili na mambo mengine wenyewe walikuwa wanasema (MWIKO).
Katazo hili la watu kushika mtoto baada ya kutoka kujamiana halikuwa bure lilikuwa na...
Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui...
Yapata muda wa miezi kadhaa Tangia nianze mahusiano na Binti mmoja wa kinyarwandwa ,Tulikua tunawsiliana vizuri,siku Moja niliwasiliana nae kuhitaji kuonana nae dating,akanambia nimtumie nauli Cha...
Wadau. Msaada sijaosha rungu week ya pili sasa. Nipo huku Dubai. Sijui hata pa kuanzia. Nawaza je sitopata madhara yoyote bila kuchovya rungu week 2 sasa? Sijazoea... Imeniletea shida muda wote...
Ukiwa na pesa na bado ukawa unaendelea kuteswa na mapenzi hayo ni matumizi mabaya ya pesa! Mwanaume ukiwa na pesa inabidi ubadilishe mindset uwachukulie tu kama ni chombo hakuna kuwekeza moyo...
WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao...
1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri...
Kwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Naomba tuelewe mada na tuje na majibu serious, kuna maamuzi magumu nataka kuchukua kwa mara nyingine tena.
Huyu nilienae nataka nimuweke dormant asije niua huko mbeleni, kuna dalili sio nzuri...
Habari zenu,
Hakika kunena ushuhuda ni raha sana ndivyo naweza kusema, mpo, mwanamke wa kinyamwezi mtamu na anayajua mahaba nihabue. Ni fundi na amefundika anaweza hatari sana.
Woyo woyo woyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.