Pinga kwa hoja bila matusi[emoji116]

Pinga kwa hoja bila matusi[emoji116]

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,711
Reaction score
1,663
Huu ni ukweli mtupu,hawa feminists wengi ni wahuni tena wamechangia kutuvurugia ndoa nyingi sana na kuziacha familia zikiwa hoi.

Naomba ntajiwe feminists 10 wa hapa nyumbani wenye ndoa halali na familia iliyo simama.[emoji120]
20230812_161312.jpg
 
Nachukia itikadi ya feminism..... Lakini wewe pia hujaleta hoja kwenye mada yako japo umesema wanaoopinga hoja yako dhidi ya mafeminist wapinge kwa hoja
Hoja nimeandika hapo juu pia nmenukuu maneno hapo chini[emoji120]
 
JF IMEKUWA NA WATOTO WENGI

1. USIKUBALI MTU AKUSHAURI MASUALA YA NDOA.

2.USITOE MAMBO YA NDANI / SILI ZA NDOA.

3. VUMILIA YOTE, NDOA INAHITAJI UVUMILIVU.
Nkwel mkuu ila kichwa cha habar hakitambua mtoto[emoji120]
 
Binafsi feminist nawachukulia kwa mtazamo chanya. Nachojua love ni pande mbili za shilingi. Upendo ni kujali, kuheshimu,,nk. Sasa yale mazuri ambayo mwenzako anakufanyia na wewe pia umfanyie sio hadi aombe. Kama mke wako ukiwa umechoka huwa anakufanyia sms na wewe siku umerudi au upo weekend na unaona kabisa mwenzako amechoka basi mwambie wife lalaaa nikufanyie massage.


Siki zote huwa nasema upendo ni utumwa kwa sababu kuna wakati utalazimika kufanya vitu ambavyo huvipendi kwa ajili ya yule unayempenda basi ni vivyo hivyo kwake inapaswa afanye hivyo.

Ufeminist ni msemo tu unaofanya wanawake waonekane wabaya . Sidhani kama kuna mtu ana dada yake ameolewa mume hamjali,,kila siku kipigo,,,mwanaume akirudi analeta mwanamke hadi ndani. Halafu ukae kimya tu eti kisa uanaharakati hapana haikubariki. Kikubwa unapoingia kwenye ndoa au mahusiano pasi kipaumbele cha kwanza kiwe upendo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom