Bishazo_june
Member
- Jul 3, 2023
- 42
- 55
Rafiki yangu anapitia changamoto ya kuwa mbali na mpenzi wake au niseme mchumba wake, hii inamfanya amuwaze sana, anakosa hamu ya kula, hatoki Tena misele na sisi yeye ni kulala tu ukimuuliza anasema ana mawazo....
Tunamsaidiaje kama washikaji zake...Au tumshauri Nini???
Tunamsaidiaje kama washikaji zake...Au tumshauri Nini???