Je, ni kwa sababu ulikuwa unampenda mwanamke huyu zaidi ya kitu chochote duniani au alikuwa karibu yako wakati hamu ya kutaka kuanzisha familia imekushika?
Au pengine ulipelekwa kwake na upepo wa...
Kuna binti mwaka 2018 nilimtongozaga akakubali tena akaonesha kunipenda ila tena nikaadha kumuona wanini.
Yaani kujibu sms hadi nijisikie yaani nilimkinai ata Bado sijamvua nguo alikua anani...
Kuna kipindi nilipoteza kazi na kufikia maisha yangu kuyumba sana, hivyo ikapelekea mimi kuanza kuuza vitu yyangu yya ndani ili nipate mtaji nianze biashara ili kujikimu.
Jiji la Dar ukiingia kwa...
Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado...
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila...
Ndoa sio ya kila mtu, ndio maana wengine wanazeeka wakiwa singo.
kwa kutumia uzi huu, kwa wale wadada wanaotaka kuolewa inabidi wajitathmini kama hizi sifa wanazo, kama hawana wajitahidi...
Wanajukwaa mko pouwa? Leo nimeona hebu tushare uzoefu katika jambo hili.
Tumekuwa tukishuhudia ndoa nyingi zikifungwa huku wahusika wakisheheni upendo na furaha sana lakini upendo huu unakuta...
Kwenye kuoa au kuingia katika mahusiano na mtu ingekuwa kila binadamu ana data base ya kusoma taarifa za mtu za mahusiano yake aliyopitia na matukio aliyowahi kukutana nayo kuna watu wasingekuwa...
After I permanently lose someone very special, how do I, and should I even try to, keep from falling into despair?
Rest in internal peace my lovely Mom. Kweli sio kila anaecheka na wewe...
Kutokana na changamoto za kiuchumi pamoja na uhaba wa wanaume wenye sifa za uoaji kupungua; mabinti wakileo wameanzisha utaratibu wa kujisogeza kwa mwanaume na kuanza naye maisha, bila kufuata...
Wanajukwaaa mko pouwaa.
Looooo! Katika hali ya kushangaza ndoa ya kungwi mmoja marufu hapa kitaani na mwenye jina kubwa kwenye media ndoa yake imevunjika.
Suala hili limezua gumzo na tafran...
Hi,
Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba...
Zifuatazo ni faida za kuoa mke zaidi ya mmoja
01. kupunguza wimbi kubwa la machafu ya uzinifu kwenye jamii....sababu wanawake asilimia kubwa watakuwa kwenye stara
02. Kuongezeka kwa uchumi na...
Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji.
Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate...
Moja kwa moja kwenye uzi.
Kama kichwa cha uzi kinavyosema" wanawake hawapendi ndoa" ndio hii inaweza kukushangaza lakini ndio ukweli.
Wanawake hawapendi ndoa kabisa tena hiki kizazi cha sasa...
Ipo hivi...
Mimi na waifu tuna miliki kiwanda cha kuchakata mkaa.
Sasa leo asubuhi kama kawaida nimetoka nyumbani alfajiri nikaenda porini kupangua tanuru la mkaa ili niupange kwenye magunia...
Habari wakuu...nimeona story ya kijana akielezea wema ulivyotaka umponze eneo la kazi
1. INTRODUCTION: SHAVU In 2015
mwishoni nikiwa 3rd year nlipata shavu mahala in a private company.
So i...
Greetings members and guests!!!!!
Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume....
Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.