Kwanini wanaofumaniwa wanakuwa wanyonge

Kwanini wanaofumaniwa wanakuwa wanyonge

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,761
Reaction score
6,793
Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka?

Mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida.

Kwani huyo mwanamke wake ni mtoto?

Si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
 
Wanaofumaniwa ni kwamba wanakuwa hawana nguvu au ujasiri unayeyuka ? mbona hakuna anayemtwanga aliyemfumania Unampiga tu anaekufumania akileta shida ,kwani huyo mwanamke wake ni mtoto ? si alikubali akiwa na akili zake timamu shughulika na mwanamke wako sio unayemfumania
Nimekubamba leo😂
 
labda hufuatilii hayo matukio, kama huna nguvu za kutosha usipange fumanizi itakula kwako na utashangaa...
kuna wengine wamepoteza maisha ama kubaki vilema kisa wake zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom