Feedback ya kumtafuta mchumba.

dedy

Member
Feb 20, 2018
24
75
Mamboz, nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu jf Muda mrefu kidogo kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious, yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi Basi Ni hajatulia hivi,au tu wabaya hata hatutongozwi , lkn huo mtazamo sio sahihi, tunajitambua Ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi Ni mipango tu ya MUNGU mwenyewe.
Mukiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.
Ni hayo tu narudi kwenye kufunga na kusali ,na kujipenda . Wakati wa MUNGU Ni sahihi.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
16,787
2,000

Inaonekana una nia ya dhati kabisa.
 
BIN NUN

JF-Expert Member
May 23, 2014
2,235
2,000
Mnakuwa selective halafu mnalaumu wanaume.
Haya sema kama hujapata tuje halafu uwe selective tena.
Mamboz, nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu jf Muda mrefu kidogo kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious, yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi Basi Ni hajatulia hivi,au tu wabaya hata hatutongozwi , lkn huo mtazamo sio sahihi, tunajitambua Ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi Ni mipango tu ya MUNGU mwenyewe.
Mukiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.
Ni hayo tu narudi kwenye kufunga na kusali ,na kujipenda . Wakati wa MUNGU Ni sahihi.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,479

Dah!!
Umeandika kwa uchungu mpaka nimekuonea huruma.
Pole sana
 
MEK_TZ

Member
Apr 21, 2021
20
45
Naitwa FLAN BIN FLAN Niko dsr kariakoo me pia natafuta mchumba wa kuoa.

Maelezeo zaidi DM.
 
Ngoda95

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
2,637
2,000
Mamboz, nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu jf Muda mrefu kidogo kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious, yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi Basi Ni hajatulia hivi,au tu wabaya hata hatutongozwi , lkn huo mtazamo sio sahihi, tunajitambua Ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi Ni mipango tu ya MUNGU mwenyewe.
Mukiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.
Ni hayo tu narudi kwenye kufunga na kusali ,na kujipenda . Wakati wa MUNGU Ni sahihi.
Mungu akutangulie kama unamaanisha, akakuongoze vyema kukupatia hitaji la moyo wako.
 
Edison

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
562
500
Mamboz, nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu jf Muda mrefu kidogo kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious, yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi Basi Ni hajatulia hivi,au tu wabaya hata hatutongozwi , lkn huo mtazamo sio sahihi, tunajitambua Ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi Ni mipango tu ya MUNGU mwenyewe.
Mukiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.
Ni hayo tu narudi kwenye kufunga na kusali ,na kujipenda . Wakati wa MUNGU Ni sahihi.
Hata nyie wanawake mnazingua sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom