Ukiwa na pesa halafu mapenzi yakakutesa...

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Ukiwa na pesa na bado ukawa unaendelea kuteswa na mapenzi hayo ni matumizi mabaya ya pesa! Mwanaume ukiwa na pesa inabidi ubadilishe mindset uwachukulie tu kama ni chombo hakuna kuwekeza moyo zaidi ya akili.

Yaani akizingua na wewe unazingua zaidi yake, wajuba tujifunze kwa kijana mwenzetu sadala kazaa na pisi zote kali na hana time na kuvizia kupasha viporo wala nini.

Vijana wenzetu mnakwama wapi kila siku kulialia na kurudiana na ma Ex. Ukiwa na pesa kulia lia kisa mbususu ni matumizi mabaya sana ya pesa
 
Ndo ivo...hizo ndo kanuni za kuish na hawa viumbe ss iv..yaan hukuna ku deep dwn ..ushafanya yako akileta ujuaji weka pemben endelea kujichaguli pis kali
 
Bro wewe hujui mapenz unaweza ukakutana na dem ukasema ivo ivo ngoja Nipigie nipite tu hapa looh !! Ukajikuta una wivu ata ukimuona kasimama na mbwa
 
Ukiwa na pesa na bado ukawa unaendelea kuteswa na mapenzi hayo ni matumizi mabaya ya pesa! Mwanaume ukiwa na pesa inabidi ubadilishe mindset uwachukulie tu kama ni chombo hakuna kuwekeza moyo zaidi ya akili.

Yaani akizingua na wewe unazingua zaidi yake, wajuba tujifunze kwa kijana mwenzetu sadala kazaa na pisi zote kali na hana time na kuvizia kupasha viporo wala nini.

Vijana wenzetu mnakwama wapi kila siku kulialia na kurudiana na ma Ex. Ukiwa na pesa kulia lia kisa mbususu ni matumizi mabaya sana ya pesa
Kweli kabisa ukiwa na hela wanawake ndio wanapaswa kulia kwa vile unavyo wachakaza na kuwaona ni chombo cha starehe.
 
Back
Top Bottom