Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Wakuu habari zenu..
Kuna Bidada mmoja nimetokea kumpenda sana. Lakini sasa kila gia nikiingiza yeye zote nimechomoa ila hiyo moja tu ya nina mtu wangu inaninyima amani asee.
wakuu si kweli kwani nimepeleleza nikaona Si kweli.
Wakuu nimekuwa kila nikitongoza binti yeyote hapo tu anachomoa ..
Hebu nipeni formula hapo wakongwe...
Najua JF ndo mwisho wa matatizo...
Natanguliza shukrani